Acheni kusomesha watoto kozi za kustafia bali wasomesheni kozi ambazo zinaweza watengenezea bilions of money

Acheni kusomesha watoto kozi za kustafia bali wasomesheni kozi ambazo zinaweza watengenezea bilions of money

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Acheni kusomesha watoto kozi za kustafia bali wasomesheni kozi ambazo zinaweza watengenezea bilioni of money.

Kozi za kustafia

VS

Kozi za kutengeneza bilioni of money. Utanielewa tu jaribu kufanya access matajiri wakubwa duniani wamesomea nini, achana na matajiri hawa wakibongo na Afrika.

Ingia marekani ndio kuna matajiri waliotajirika kwasababu ya elimu yao.

Hawa wakibongo achana nao.
 
Acheni kusomesha watoto kozi za kustafia bali wasomesheni kozi ambazo zinaweza watengenezea bilioni of money...

Kozi za kustafia..............
VS
Kozi za kutengeneza bilioni of money.
Utanielewa tu jaribu kufanya access matajiri wakubwa duniani wamesomea nini, achana na matajiri hawa wakibongo na Afrika.

Ingia marekani ndio kuna matajiri waliotajirika kwasababu ya elimu yao.

Hawa wakibongo achana nao.
Siti ya pili kusubiri nipate udhamini wa kusomeshwa kozi ya utajiri na meneja wa makampuni.
 
Acheni kusomesha watoto kozi za kustafia bali wasomesheni kozi ambazo zinaweza watengenezea bilioni of money...
Tusaidie kwa kuwataja hao matajiri wa Kimarekani na kozi zao walizosoma na zikawatajirisha. Kama utapata 5 (watano) ambao dunia inawatambua. Itakuwa umefanya kazi kubwa, kwani matajiri wengi ni college drop out nk.
 
Acheni kusomesha watoto kozi za kustafia bali wasomesheni kozi ambazo zinaweza watengenezea bilioni of money....
Kama watu watafuata ushauri huu itafika hatua kuna baadhi ya taaluma zitapotea kabisa duniani na maisha yatayumba sana kwa kukosekana baadhi ya huduma kwa ustadi stahiki.
 
Acheni kusomesha watoto kozi za kustafia bali wasomesheni kozi ambazo zinaweza watengenezea bilioni of money...
Huu ni ubinafsi kwa sababu maisha haya yapo kwa ajili ya kutegemeana.Utajiri ni muhimu kama ambavyo vitu vingine pia ni muhimu.

Sio kila mtu anaweza kila kitu.Hakuna taaluma inayomzuia mtu kuwa tajiri na haipo taaluma inayomfanya mtu kuwa masikini,Ila kuna taaluma zipo zinawafanya watu kuwa mafisadi, wala rushwa na kuishi kwa michongo ya kishetani.
 
True,pia Ili kukabiliana na shida ya ajira wazazi anzisheni firm muajiri watoto wenu.Kama ni Mwalimu jiwekee malengo KILA mwaka jenga darasa moja moja hadi ukija kustaafu unamiliki shule kubwa tu watoto wako wanapata ajira.

Anzisheni migodi,vyuo, hospital,ranches,mabwawa, garage, viwanda nk ajilini watoto wenu waendeleze fani zenu.

Mambo ya kusubiria kuajiriwa yamepitwa na wakati.Unakuta mzee mstaafu anasumbua watu wampajike mwanae hali alikuwa na uwezo wa kuanzisha firm yake.

Watoto wasome vipaji vyao na sio kulazimishana kombi za kusoma. Eti mtu anachaguliwa fani ya kusoma na TCU Ina maaana ajui anataka kuwa nani.

Wenzetu mtoto tangu Mdogo anakitoka shule au wikiend au likizo ana shinda garage, kiwandani, shuleni, shambani au site za baba zao wanajifunza uzoefu akifika miaka 18 tayari amekomaa anaachiwa msingi anaendelea.

Walishaachana na mawazo ya kutegemea kuajiriwa.
 
Sasa mkuu Hapa bongo kozi ya mambo ya biashara ni cheap kuliko kozi zingine

ila kozi za biashara marekani kwa mfano ,ndo kozi ghali zaidi kuzisoma tena vbya mno.

pembua apo

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimerusha jiwe gizani kwanaowaza kinesinesi, wanaowaza kitabibutabibu na kiualimualimu
Hukuhitaji mwalinu, nesi au tabibu maishani mwako?
 
Hiv hizo coz za kutengeneza bilions of money n Kama zipi pia unaongelea Ukiwa Tanzania African country au Tanzania ya Europe Kama n Tanzania kuna coz tuliaminishwa kuwa ndo znatoa na tukasoma ila kila mtu anajua kinachotokea wakat huu
 
Tutajie kwanza kozi hizo za kitajiri alaf tuone ni waTz wangapi wamesoma kozi izo na wapo wapi,, kama wapo waliosoma na ni masikini Basi umekulupuka kuandika thread yako
 
Tutajie kwanza kozi hizo za kitajiri alaf tuone ni waTz wangapi wamesoma kozi izo na wapo wapi,, kama wapo waliosoma na ni masikini Basi umekulupuka kuandika thread yako
Nakutajia hapa.
1. Politics
2. Finance
3. Account
4. Economics
5. Law
Hao ndio watu waliofanikiwa Tanzania kutokana na elimu.
Hawa ndio wanaopaki magari ofisini na kwenye makampuni.
Asilimia tisini hawa ndio wanaiongoza Tanzania.
Siwezi kuendelea kuongezea hapo kwa mazingira ya Tanzania.
 
Bongo hata usome nini kama hauna connections unapoteza muda wako...Bill Geti mwenyewe angezaliwa huku sasa hivi angekuwa Yanga anashindana na Mzee Mpili kutafuta kiki🐒
 
Back
Top Bottom