Kozi zinazolipa hapa bongo ni engeering hasa civil, electronics na mechanical hata za ICT kiujumla kozi za engeering and archcture za Ardhi.
Kozi za afya huwezi kosa pesa ya chakula na ya IST mjini medical lab,Radiographs,nursing na MD(bila kuwa na master's au specialist ni mtihan kidogo).
Kozi za arts na biashaara kama vile laws kwa sababu ikitokea appointmnt and legal documnt sign mwanasheria atahusika, pia accounts wahasibu wetu kila kampun and income departmnt wanahitajika kama vile vikoba.
Kozi za politcs na socialogy nazo kimtindo hila sio sana mpunga kuingia mfukoni
mwisho wa kuwasilisha.