Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Siti ya pili kusubiri nipate udhamini wa kusomeshwa kozi ya utajiri na meneja wa makampuni.Acheni kusomesha watoto kozi za kustafia bali wasomesheni kozi ambazo zinaweza watengenezea bilioni of money...
Kozi za kustafia..............
VS
Kozi za kutengeneza bilioni of money.
Utanielewa tu jaribu kufanya access matajiri wakubwa duniani wamesomea nini, achana na matajiri hawa wakibongo na Afrika.
Ingia marekani ndio kuna matajiri waliotajirika kwasababu ya elimu yao.
Hawa wakibongo achana nao.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimerusha jiwe gizani kwanaowaza kinesinesi, wanaowaza kitabibutabibu na kiualimualimuSawa
Wenzako wanasoma Finance. ww mwenzangu unasoma sijui kitu gani. 😃😃😃😃😃😃😃😃😃Siti ya pili kusubiri nipate udhamini wa kusomeshwa kozi ya utajiri na meneja wa makampuni.
Mwisho wa siku tunahitaji manesi,tabibu na walimu hivyo tunashukuru wanaosoma hizo kozi.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimerusha jiwe gizani kwanaowaza kinesinesi, wanaowaza kitabibutabibu na kiualimualimu
Tusaidie kwa kuwataja hao matajiri wa Kimarekani na kozi zao walizosoma na zikawatajirisha. Kama utapata 5 (watano) ambao dunia inawatambua. Itakuwa umefanya kazi kubwa, kwani matajiri wengi ni college drop out nk.Acheni kusomesha watoto kozi za kustafia bali wasomesheni kozi ambazo zinaweza watengenezea bilioni of money...
Kama watu watafuata ushauri huu itafika hatua kuna baadhi ya taaluma zitapotea kabisa duniani na maisha yatayumba sana kwa kukosekana baadhi ya huduma kwa ustadi stahiki.Acheni kusomesha watoto kozi za kustafia bali wasomesheni kozi ambazo zinaweza watengenezea bilioni of money....
Tanzania hii hii uingize bilions tozo zinakuangalia tu!? Labda usomee "public relationship with god will"Acheni kusomesha watoto kozi za kustafia bali wasomesheni kozi ambazo zinaweza watengenezea bilioni of money...
Huu ni ubinafsi kwa sababu maisha haya yapo kwa ajili ya kutegemeana.Utajiri ni muhimu kama ambavyo vitu vingine pia ni muhimu.Acheni kusomesha watoto kozi za kustafia bali wasomesheni kozi ambazo zinaweza watengenezea bilioni of money...
Hukuhitaji mwalinu, nesi au tabibu maishani mwako?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimerusha jiwe gizani kwanaowaza kinesinesi, wanaowaza kitabibutabibu na kiualimualimu
Nakutajia hapa.Tutajie kwanza kozi hizo za kitajiri alaf tuone ni waTz wangapi wamesoma kozi izo na wapo wapi,, kama wapo waliosoma na ni masikini Basi umekulupuka kuandika thread yako