Acheni kusomesha watoto kozi za kustafia bali wasomesheni kozi ambazo zinaweza watengenezea bilions of money

Mbona mm npo hapo kwa account lakn nipo bench kitambo
 
Pale makumbusho Dar,Yale majengo ya Vodacom,Tigo,na mengine Mengi ya upande huo yanamilikiwa na Mtanzani,
Huyu jamaa ni Muhandisi wa umeme,kampuni yake ndio inatengeneza hizo nguzo za umeme za Cement ambazo zinafungwa sasa hv kila kona Dar.
Kampuni yake inauwezo wa kujenga miradi ya REA kwa mwaka mzima bila kulipwa na Serikali.
 

Kozi za kustaafia kwa mfano _______

Kozi za kutengeneza billions Kwa mfano____
 
90% kwa kigezo kipi,,, na unataka kutuaminisha kuwa waliosoma kozi hizo wote ni matajiri kwa Tz?
 
kuna ukweli ndani yake, maana sisi tuliosoma sayansi ni balaa tupu, jua kali mifukoni na mishahara ya mafundi ipo chini sana.
 
huna tofauti na wale wanaolipwa vimilioni 2 kisha wanaanza kudhihaki waalimu.

kila mtu akisomea unachohisi ni bora basi hakitakuwa bora tena.
 
Kozi zinazolipa hapa bongo ni engeering hasa civil, electronics na mechanical hata za ICT kiujumla kozi za engeering and archcture za Ardhi.

Kozi za afya huwezi kosa pesa ya chakula na ya IST mjini medical lab,Radiographs,nursing na MD(bila kuwa na master's au specialist ni mtihan kidogo).

Kozi za arts na biashaara kama vile laws kwa sababu ikitokea appointmnt and legal documnt sign mwanasheria atahusika, pia accounts wahasibu wetu kila kampun and income departmnt wanahitajika kama vile vikoba.

Kozi za politcs na socialogy nazo kimtindo hila sio sana mpunga kuingia mfukoni
mwisho wa kuwasilisha.
 
Nani kasoma politics kawa bilionea
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nimerusha jiwe gizani kwanaowaza kinesinesi, wanaowaza kitabibutabibu na kiualimualimu
tuonyeshe hizo kozi kwani tuntofautiana exposure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…