Acheni Kutudanganya ukweli ni kwamba Beki Inonga kasema mkimuacha Mkongo Mwenzake huyo nae anasepa zake upande wa Pili

Bila shaka wewe ndio mwalimu wangu wa ushoga
Mkuu hebu piga kimya tu epusha shali ili yapite, haina haja ya kumjibu, na kila mwenye Akili timamu hawezi kuamini hayo Maneno, labda kama team ingekuwa ya UKOO

Ata kama Simba wakiamua kumuacha Mugalu aendelee kukipiga ni wazi kuwa kitakachombakiza ni Aina yake ya uchezaji na sio takwimu na wala sio issue za anazodai ndugu yetu hapo juu

Kila mmoja alikuja peke yake kutafuta ridhki na ataondoka peke yake muda ukiwadia, of course me ni miongoni mwa watu wachache ambao napenda kuona Mugalu akiendelea kubaki ila sio kienyeji enyeji hivo kama anavotuaminisha big bro
 
Mbona vilabu vyote Duniani Huwa wanaweka wazi wachezaji wanaowasajili na iweje Simba wanaficha ? Kwa mtazamo wangu viongozi wa Simba hawapo makini na kuojenga timu maana wanakalia ujuaji wanashindwa kusajili wachezaji wenye viwango.
 
Huna ulijualo

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Pamoja mkuu
 
Si Morrison mlisema asepe tu kwavile hana nidhamu? Tena we mleta mada ndo uliongoza kutaka asepeshwe. Kwahiyo SI VIBAYA MKABAKI NA MUGALU. Huyu ana nidhamu ya Standard Gauge.
 
Tangu utupe ushauri simba tufanye ulozi kwenye mechi za kimatifa nimekuona ni juha na mpumbavu humu jf
 
Attachments

  • 20220623_152502.jpg
    50.7 KB · Views: 6
Yaani inonga aipangie Simba kitu Cha kufanya.au manula aipangie Simba kitu Cha kufanya?
Haya yatakuwa maajabu ya mwisho wa dunia
 
Digirii yako ya SAUT, unaifedhesha
Kumbe huyu dogo kasoma SAUT? Kile sio chuo kabisa, hata hivyo kinaendana na anayotapika humu kila siku.

Ni ngumu sana kukuta alumin wa vyuo vya maana wakiwa na mijadala ya matusi na isiyoeleweka humu.
 
Uzuri wa mtandaoni unavojisali huwa hawaulzi kama unayo matatizo ya akili...ndio maana matatizo yao ya akili wanakuja kuoneshea mtandaoni....na ulihisi pia ukiweka uzi kama huu wana Lunyasi wengekuja kwa wingi kuku attack...lkn imekuwa tofauti ...ivo basi mbinu imebumAaaaaa.....
 
Mbona vilabu vyote Duniani Huwa wanaweka wazi wachezaji wanaowasajili na iweje Simba wanaficha ? Kwa mtazamo wangu viongozi wa Simba hawapo makini na kuojenga timu maana wanakalia ujuaji wanashindwa kusajili wachezaji wenye viwango.
Viongozi wa Utopwizo au Utopwenga wameweka wazi kuhusu usajili wa wachezaji wapi?????

Utopwizo acheni kujitia dole afu mnajnusisha....
 
Kumbe huyu dogo kasoma SAUT? Kile sio chuo kabisa, hata hivyo kinaendana na anayotapika humu kila siku.

Ni ngumu sana kukuta alumin wa vyuo vya maana wakiwa na mijadala ya matusi na isiyoeleweka humu.
Upo sahihi sana mkuu
 
Ni hatari sana.
Mugalu bado anahitajika ili awakabe mabeki wa timu pinzani kule mbele apunguze tu rafu zake dhidi ya mabeki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…