GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #61
Nipanulie nieleweke.Genta muda mwingine hueleweki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipanulie nieleweke.Genta muda mwingine hueleweki
Wewe Ushoga ulionao hukifedheheshi Chuo Kikuu chako cha UDSM?Digirii yako ya SAUT, unaifedhesha
Bila shaka wewe ndio mwalimu wangu wa ushogaMwanafalsafa Shoga?
Mkuu hebu piga kimya tu epusha shali ili yapite, haina haja ya kumjibu, na kila mwenye Akili timamu hawezi kuamini hayo Maneno, labda kama team ingekuwa ya UKOOBila shaka wewe ndio mwalimu wangu wa ushoga
Huna ulijualoSIMBA SC KUMBAKIZA MUGALU
Habari kutoka ndani ya Simba zinasema Majeraha aliyoyapata msimu huu Chris Mugaluni moja ya sababu inayopelekea uongozi wa klabu hiyo kutomuacha.
Msimu huu hakuonyesha makali tofauti msimu uliopita Mugalu alimaliza na mabao 15 katika mechi 19
Chanzo: SportsArenaTz
Wenye kujua ya ndani tunajua kuwa hata akina Erasto Nyoni na John Boko nao hamuwaachi kwani Mshikaji wao Mkuu ( mpaka katika Kuroga ) Kipa Aishi Manula amewaomba kuwa msiwaache. Kifupi ni kwamba Simba SC hakutakuwa na Mabadiliko yoyote kwani kumejaa Uhuni na Uswahili tu hivyo Yanga SC nawatabiria leo rasmi kuwa hata Msimu ujao wanaenda kuwa Mabingwa tena.
Imeisha hiyo.....!!!!!
Kajibay bahili Sana , anaongea Sana kuliko vitendoMm nadhan ukweli usemwe
Simba Haina pesa kwa sasa hasa ya kusajir wachezaj wa kazikazi toka nje ya nchi
Pamoja mkuuMkuu hebu piga kimya tu epusha shali ili yapite, haina haja ya kumjibu, na kila mwenye Akili timamu hawezi kuamini hayo Maneno, labda kama team ingekuwa ya UKOO
Ata kama Simba wakiamua kumuacha Mugalu aendelee kukipiga ni wazi kuwa kitakachombakiza ni Aina yake ya uchezaji na sio takwimu na wala sio issue za anazodai ndugu yetu hapo juu
Kila mmoja alikuja peke yake kutafuta ridhki na ataondoka peke yake muda ukiwadia, of course me ni miongoni mwa watu wachache ambao napenda kuona Mugalu akiendelea kubaki ila sio kienyeji enyeji hivo kama anavotuaminisha big bro
Kumbe huyu dogo kasoma SAUT? Kile sio chuo kabisa, hata hivyo kinaendana na anayotapika humu kila siku.Digirii yako ya SAUT, unaifedhesha
Uzuri wa mtandaoni unavojisali huwa hawaulzi kama unayo matatizo ya akili...ndio maana matatizo yao ya akili wanakuja kuoneshea mtandaoni....na ulihisi pia ukiweka uzi kama huu wana Lunyasi wengekuja kwa wingi kuku attack...lkn imekuwa tofauti ...ivo basi mbinu imebumAaaaaa.....SIMBA SC KUMBAKIZA MUGALU
Habari kutoka ndani ya Simba zinasema Majeraha aliyoyapata msimu huu Chris Mugaluni moja ya sababu inayopelekea uongozi wa klabu hiyo kutomuacha.
Msimu huu hakuonyesha makali tofauti msimu uliopita Mugalu alimaliza na mabao 15 katika mechi 19
Chanzo: SportsArenaTz
Wenye kujua ya ndani tunajua kuwa hata akina Erasto Nyoni na John Boko nao hamuwaachi kwani Mshikaji wao Mkuu ( mpaka katika Kuroga ) Kipa Aishi Manula amewaomba kuwa msiwaache. Kifupi ni kwamba Simba SC hakutakuwa na Mabadiliko yoyote kwani kumejaa Uhuni na Uswahili tu hivyo Yanga SC nawatabiria leo rasmi kuwa hata Msimu ujao wanaenda kuwa Mabingwa tena.
Imeisha hiyo.....!!!!!
Viongozi wa Utopwizo au Utopwenga wameweka wazi kuhusu usajili wa wachezaji wapi?????Mbona vilabu vyote Duniani Huwa wanaweka wazi wachezaji wanaowasajili na iweje Simba wanaficha ? Kwa mtazamo wangu viongozi wa Simba hawapo makini na kuojenga timu maana wanakalia ujuaji wanashindwa kusajili wachezaji wenye viwango.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Genta muda mwingine hueleweki
Upo sahihi sana mkuuKumbe huyu dogo kasoma SAUT? Kile sio chuo kabisa, hata hivyo kinaendana na anayotapika humu kila siku.
Ni ngumu sana kukuta alumin wa vyuo vya maana wakiwa na mijadala ya matusi na isiyoeleweka humu.
Ninachojua Wewe ndiyo Mhadhiri Mwandamizi wa Ushoga.Bila shaka wewe ndio mwalimu wangu wa ushoga
Wewe unabaki kuwa mwalimu wangu wa ushoga, maana ndio mtumiaji mkubwa wa neno hiliNinachojua Wewe ndiyo Mhadhiri Mwandamizi wa Ushoga.