Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Mashabiki wa bongo ni wajinga sana , timu ikisajili wanasema inasajili vipi bila kocha ,ikikaa kimya wanasema kwa nini haisajili mara haina pesa yaani ni full kusema hata wasiyo na uhakika nayo.Ni wanafikiTimu ina taratibu zake, haiwezi kufanya kazi kwa kauli za mitandaoni, usajili wote utatangazwa muda muafaka
Tangu sisi mashabiki tushindwe kufikisha milion 200 kwa timu zote mbili kubwa Tanzania tena kwa wiki 2 huku sisi mashabiki tunaongoza kuwakosoa viongozi kwa mengi na yote yanagusa pesa nimeshaamua kukaa kimya maana nimegundua ni dhambi kubwa tunafanya kuwanenea mabaya viongozi ambao wamedhihirisha kazi wanayoifanya tukipewa sisi wapiga kelele mitandaoni hata kwenda kwenye mechi tu za mikoani hatutaweza ,vipi mechi za kimataifa si itakuwa aibu kabisa?
Akilimali aliongea kumbeza Manji , Manji kaondoka watu wakatembeza bakuli kuomba misaada hadi akajificha kuonesha ametambua kuendesha timu ni balaa kubwa
Viongozi wafanye wapendavyo bana naamini hata wao wana uchungu kwa timu zetu hizi sema tumezidi kuwashambulia for nothing