Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Safiiii... mimi smartphone ndio ina password lakin kitochi ambacho ndio mambo yote hakanaga password
Sent using Jamii Forums mobile app
Hainaga!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hainaga!
Si ni nyie wenyewe mliotunga sheria inayokataza mtu kutumia simu bila password? Imekuwaje tena?Mtu aweza dondoka ghafla njiani kwa Corona simu ikiwa na password inakuwa vigumu watu kumsaidia kwa kuwasiliana na nduguze nk ondoeni password mtarudisha corona ikiiisha.
Halafu mtoa taarifa mwenyewe alivyokuwa na wenge, unaweza zimia[emoji134]
Hii wameshafanya tayari kama simu yako ni android 9 utakuwa umeliona hilo, Wameweka chance ya ku add 2 phone number ambazo mtu anaweza kupiga bila pattern/password wameenda mbali zaid mpaka kuweza kuweka ujumbe mfano kama ww unakifafa unaweza kuweka maelezo ya emergency ambayo endapo utadondoka basi mtu anaweza kusoma na kujua tatizo lako mapema na kama msaada basi utapatiwaHivi simu zote ukishaweka password hakuna namna ya kuruhusu namba mbili au tatu zisizo na password kwa ajili ya dharura kama hizo?Watengenezaji wa simu wangewezesha hilo.
Acha ushamba, Password walal haina shida kabisa, ngoja niwafundishe matumizi ya simu kukiwa na dharura, ntakutaja nikishaandaa madaMtu aweza dondoka ghafla njiani kwa Corona simu ikiwa na password inakuwa vigumu watu kumsaidia kwa kuwasiliana na nduguze nk ondoeni password mtarudisha corona ikiiisha.
Ahsante sana. Kwa kuanzia kwa sasa tunaweza kuandika namba kama tatu hivi kwenye kikaratasi na kukifanyia lamination kisha kukiweka kwenye wallet ili likitokea la kutokea yeyote atakaekimbilia kwenye wallet aone namba hizo maana wengine wanaoweza kutoa msaada hawajui sehemu gani ya simu wanaweza kupata hizo namba za emergency.Hii wameshafanya tayari kama simu yako ni android 9 utakuwa umeliona hilo, Wameweka chance ya ku add 2 phone number ambazo mtu anaweza kupiga bila pattern/password wameenda mbali zaid mpaka kuweza kuweka ujumbe mfano kama ww unakifafa unaweza kuweka maelezo ya emergency ambayo endapo utadondoka basi mtu anaweza kusoma na kujua tatizo lako mapema na kama msaada basi utapatiwa
Halafu mtoa taarifa mwenyewe alivyokuwa na wenge, unaweza zimia[emoji134]
K.vant impact.Mimi nipo tofauti sana nadhani nitakua na tatizo... huwa nazifurahia sana taarifa za msiba
Sent using Jamii Forums mobile app
K.vant impact.
Nawewe umejaza password simu zako?Bas hautak tuone meseji
ps;msalimie Toto
Sina dhambi yoyote kwa simu yangu,..aseeeMother confessor confess your sins umejaza dhambi hadi kwenye simu na kuziwekea password ambayo hutaki kuitoa siku ukifa Mungu ataifungua ! Utamkoma