Ipo hivi... Baadhi ya simu unaweza kuadd taarifa ambazo mtu yoyote ataweza kuziaccess hata kama simu yako itakuwa ipo locked. Na siyo kuziaccess tu, ataweza hata kupiga kwenye namba za simu ambazo umeweka huko kwenye emergence mode.
Mfano kama mimi simu yangu hizo taarifa unaziweka kwenye contacts. Yaani ukiingia kwenye contacts kuna sehemu ya kujaza info zako.
Hii hapa [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1434641
Then ukiingia hapo itakuja hivi[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1434643
Then ukiingia hapo juu kulia palipoandikwa edit itakuja hivi[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1434645
Ambapo hapo utaweza kujaza hizo info.
Na kama ukitaka kuzipata kama simu ipo locked, Utaingia kwenye emergency call thrn utabonyeza hapo nilipolocate.[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1434646
Hapo ndio utazipata hizo info...
Pia kwa mtu anayehitaji kuweka hizo info kwa simu yake ni vizuri akajaribiu kusearch youtube... ..