Acheni masikhara Tunda kaumbwa kwa udongo wa wenye dhahabu

naona vijana hawauogopi kabisa upupu sasa hivi kabinti kanawapaka tu,kila la kheri vijana kwenye starehe za muda mfupi.
 
Ila Diamond anafaidi vinono kweli kweli...acha kabisa...
 
MKUU MBONA KAMA UNA TABIA ZA LEMUTUZ KUPENDA VITOTO???!!!SHAURI YAKE MUDA SIO MREFU VIDEO YAKO ITAVUJA NA WEWE
Hao wana tabia ya kupenda kulelewa utasikua Beyonce nzuri kumbe kisa ni Hela kinacho wafanya wawaone hao wadada kuwa ni wazuri ni vinasaba vya kidume kupenda kulelewa
 
Hance kweli umekufa na kuoza kwa tunda.


Nikafikiri labda 2018 utampenda zabibukiba kmbe bado upo kwa tunda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…