PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
naona vijana hawauogopi kabisa upupu sasa hivi kabinti kanawapaka tu,kila la kheri vijana kwenye starehe za muda mfupi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
napita tuHujaona wanawake wazuri bado.tembea uone.huyo dogo hata kwenye top 50 ya warembo wa wilaya anayoishi hayupo.
Katakuwa kana vitu ambavo wazee wanahitaji!Kanatumika kwelikweli
Huyu akikutana na wazuri atamkataa TundaWe ujaona wazuri ehee!!
Dah katakuja kuolewa kweli?Katakuwa kana vitu ambavo wazee wanahitaji!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji4]Mbona rangi ya ngozi inaendana2 na haji manara
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama anavyokusumbua wewe, comment moja umemtaja Mara tatu
Matunda ni mazuri bhuana
Hao wana tabia ya kupenda kulelewa utasikua Beyonce nzuri kumbe kisa ni Hela kinacho wafanya wawaone hao wadada kuwa ni wazuri ni vinasaba vya kidume kupenda kulelewaMKUU MBONA KAMA UNA TABIA ZA LEMUTUZ KUPENDA VITOTO???!!!SHAURI YAKE MUDA SIO MREFU VIDEO YAKO ITAVUJA NA WEWE
mabinti wa aina hiyo ukitangaza ndoa ndio umemfukuza ,ngoja kafike 26 na kuendeleaDah katakuja kuolewa kweli?
Duhmabinti wa aina hiyo ukitangaza ndoa ndio umemfukuza ,ngoja kafike 26 na kuendelea