PastorPetro
Senior Member
- Feb 25, 2008
- 189
- 36
Ulijuawaje. Kama na wewe hukuwa mmoja wa kutafuta hivyo vyumba. Hebu tuelezeeNasikitika sana kuwa hadi leo pamoja na kuwa kuna magonjwa ya zinaa tele kuwa Watu bado wanajazana Gesti kufanya uharamu wakati wa lunch break. Yaani ulizia gesti yoyote City Centre saa za mchana, utaambiwa umejaa! Bukoba ndo hawajakoma, na maplastiki kwenye godoro ni biashara kubwa mno!:eek2:
Acheni dhambi katika jina la Bwana!
nasikitika sana kuwa hadi leo pamoja na kuwa kuna magonjwa ya zinaa tele kuwa watu bado wanajazana gesti kufanya uharamu wakati wa lunch break. Yaani ulizia gesti yoyote city centre saa za mchana, utaambiwa umejaa! Bukoba ndo hawajakoma, na maplastiki kwenye godoro ni biashara kubwa mno!:eek2:
Acheni dhambi katika jina la bwana!
Ulijuawaje. Kama na wewe hukuwa mmoja wa kutafuta hivyo vyumba. Hebu tuelezee
Nasikitika sana kuwa hadi leo pamoja na kuwa kuna magonjwa ya zinaa tele kuwa Watu bado wanajazana Gesti kufanya uharamu wakati wa lunch break. Yaani ulizia gesti yoyote City Centre saa za mchana, utaambiwa umejaa! Bukoba ndo hawajakoma, na maplastiki kwenye godoro ni biashara kubwa mno!:eek2:
Acheni dhambi katika jina la Bwana!
nasikitika sana kuwa hadi leo pamoja na kuwa kuna magonjwa ya zinaa tele kuwa watu bado wanajazana gesti kufanya uharamu wakati wa lunch break. Yaani ulizia gesti yoyote city centre saa za mchana, utaambiwa umejaa! Bukoba ndo hawajakoma, na maplastiki kwenye godoro ni biashara kubwa mno!:eek2:
Acheni dhambi katika jina la bwana!
aisifiaye mvua jua imemnyeshea.!
....nae anafanya hivyohivyo!Hii ndio ileeee....! "Mbona unaniangalia?, lakini nawe umeonaje unaangaliwa?"
Nasikitika sana kuwa hadi leo pamoja na kuwa kuna magonjwa ya zinaa tele kuwa Watu bado wanajazana Gesti kufanya uharamu wakati wa lunch break. Yaani ulizia gesti yoyote City Centre saa za mchana, utaambiwa umejaa! Bukoba ndo hawajakoma, na maplastiki kwenye godoro ni biashara kubwa mno!:eek2:
Acheni dhambi katika jina la Bwana!
Pastor mbona una hasira hivo? kama ulikosa chumba mchana ungerudi jioni baada ya kazi au shosti alisema ikikosekana sasa zoezi life?
kwa jina la bwana yesu na wewe usirudi tena huko kuona huo uchafu
Una evidence au unalopoka ?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Nasikitika sana kuwa hadi leo pamoja na kuwa kuna magonjwa ya zinaa tele kuwa Watu bado wanajazana Gesti kufanya uharamu wakati wa lunch break. Yaani ulizia gesti yoyote City Centre saa za mchana, utaambiwa umejaa! Bukoba ndo hawajakoma, na maplastiki kwenye godoro ni biashara kubwa mno!:eek2:
Acheni dhambi katika jina la Bwana!