Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaani kwetu vyumba vipo vingi tu wakati wowote karibu kama umekosa huko............Nasikitika sana kuwa hadi leo pamoja na kuwa kuna magonjwa ya zinaa tele kuwa Watu bado wanajazana Gesti kufanya uharamu wakati wa lunch break. Yaani ulizia gesti yoyote City Centre saa za mchana, utaambiwa umejaa! Bukoba ndo hawajakoma, na maplastiki kwenye godoro ni biashara kubwa mno!:eek2:
Acheni dhambi katika jina la Bwana!
Hebu mpeni nafasi aseme anachotaka kukisema JAMANI! Msimuhukumu sana Wakuu!
Nasikitika sana kuwa hadi leo pamoja na kuwa kuna magonjwa ya zinaa tele kuwa Watu bado wanajazana Gesti kufanya uharamu wakati wa lunch break. Yaani ulizia gesti yoyote City Centre saa za mchana, utaambiwa umejaa! Bukoba ndo hawajakoma, na maplastiki kwenye godoro ni biashara kubwa mno!:eek2:
Acheni dhambi katika jina la Bwana!