Acheni Tabia Chafu

Acheni Tabia Chafu

Hakika wewe ni Mmoja wao!

hata ukatae mara 3 bado wewe ulikuwa pamoja nao
 
Nasikitika sana kuwa hadi leo pamoja na kuwa kuna magonjwa ya zinaa tele kuwa Watu bado wanajazana Gesti kufanya uharamu wakati wa lunch break. Yaani ulizia gesti yoyote City Centre saa za mchana, utaambiwa umejaa! Bukoba ndo hawajakoma, na maplastiki kwenye godoro ni biashara kubwa mno!:eek2:

Acheni dhambi katika jina la Bwana!
Mtaani kwetu vyumba vipo vingi tu wakati wowote karibu kama umekosa huko............
 
Toa Boriti lililo kati jicho lako kisha utoke kibanzi kilicho katika jicho la mwenzako!!
 
Hebu mpeni nafasi aseme anachotaka kukisema JAMANI! Msimuhukumu sana Wakuu!
 
Hebu mpeni nafasi aseme anachotaka kukisema JAMANI! Msimuhukumu sana Wakuu!

Sawa mheshimiwa Dreamliner tunampa nafasi ..mie naswali dogo tu la nyongeza yeye huwa anajuaje kama kumejaa ??:lol:
 
Nasikitika sana kuwa hadi leo pamoja na kuwa kuna magonjwa ya zinaa tele kuwa Watu bado wanajazana Gesti kufanya uharamu wakati wa lunch break. Yaani ulizia gesti yoyote City Centre saa za mchana, utaambiwa umejaa! Bukoba ndo hawajakoma, na maplastiki kwenye godoro ni biashara kubwa mno!:eek2:

Acheni dhambi katika jina la Bwana!

Mkuu next time uwe unatembelea guest za off city centre huwa hazujai sana kama uliyoenda..pole sana.
 
Back
Top Bottom