PastorPetro
Senior Member
- Feb 25, 2008
- 189
- 36
Nasikitika sana kuwa hadi leo pamoja na kuwa kuna magonjwa ya zinaa tele kuwa Watu bado wanajazana Gesti kufanya uharamu wakati wa lunch break. Yaani ulizia gesti yoyote City Centre saa za mchana, utaambiwa umejaa! Bukoba ndo hawajakoma, na maplastiki kwenye godoro ni biashara kubwa mno!:eek2:
Acheni dhambi katika jina la Bwana!
Acheni dhambi katika jina la Bwana!