GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Wasomi nikiwa nawasema Kutwa msiwe mnanichukia kwani nawatoeni Ushamba na nawafundisha jinsi ya Kufikiri. Unakuta Msomi ananunua Simu aina ya Iphone 15 yenye Thamani ya Shilingi Milioni Tano halafu unakuta amepakuwa App ya Bolt. Sasa kwanini hiyo Shilingi Milioni Tano yako usingenunua tu Pikipiki ya Shilingi Milioni Mbili iwe inakupeleka unakokenda Kutwa na hiyo Shilingi Milioni Tatu ukanunu hata Kiwanja mahala kuliko kutafuta Sifa za Kijinga uonekane una Simu Kali wakati Akili huna?"amesema Influencer Dotto Magari.
Hakuna Mtu GENTAMYCINE ninamkubali kama Dotto Magari kwani anachokisema Kwetu Wasomi yuko sahihi 100% zote.
Anachokifanya huyo jamaa kwa darasa lake la saba, kimemgharimu degree mbili yule mwingine mnayemuita sijui mwijaku"Wasomi nikiwa nawasema Kutwa msiwe mnanichukia kwani nawatoeni Ushamba na nawafundisha jinsi ya Kufikiri. Unakuta Msomi ananunua Simu aina ya Iphone 15 yenye Thamani ya Shilingi Milioni Tano halafu unakuta amepakuwa App ya Bolt. Sasa kwanini hiyo Shilingi Milioni Tano yako usingenunua tu Pikipiki ya Shilingi Milioni Mbili iwe inakupeleka unakokenda Kutwa na hiyo Shilingi Milioni Tatu ukanunu hata Kiwanja mahala kuliko kutafuta Sifa za Kijinga uonekane una Simu Kali wakati Akili huna?"amesema Influencer Dotto Magari.
Hakuna Mtu GENTAMYCINE namkubali kama Dotto Magari kwani anachokisema Kwetu Wasomi yuko sahihi 100% zote.
Mtu anakunywa bia za laki mbili nyumbani ana shuka mbili moja kujifunika moja kutandika"Wasomi nikiwa nawasema Kutwa msiwe mnanichukia kwani nawatoeni Ushamba na nawafundisha jinsi ya Kufikiri. Unakuta Msomi ananunua Simu aina ya Iphone 15 yenye Thamani ya Shilingi Milioni Tano halafu unakuta amepakuwa App ya Bolt. Sasa kwanini hiyo Shilingi Milioni Tano yako usingenunua tu Pikipiki ya Shilingi Milioni Mbili iwe inakupeleka unakokenda Kutwa na hiyo Shilingi Milioni Tatu ukanunu hata Kiwanja mahala kuliko kutafuta Sifa za Kijinga uonekane una Simu Kali wakati Akili huna?"amesema Influencer Dotto Magari.
Hakuna Mtu GENTAMYCINE namkubali kama Dotto Magari, kwani anachokisema Kwetu Wasomi yuko sahihi 100% zote.
Huyo nae ni mshamba tu,km washamba wengine"Wasomi nikiwa nawasema Kutwa msiwe mnanichukia kwani nawatoeni Ushamba na nawafundisha jinsi ya Kufikiri. Unakuta Msomi ananunua Simu aina ya Iphone 15 yenye Thamani ya Shilingi Milioni Tano halafu unakuta amepakuwa App ya Bolt. Sasa kwanini hiyo Shilingi Milioni Tano yako usingenunua tu Pikipiki ya Shilingi Milioni Mbili iwe inakupeleka unakokenda Kutwa na hiyo Shilingi Milioni Tatu ukanunu hata Kiwanja mahala kuliko kutafuta Sifa za Kijinga uonekane una Simu Kali wakati Akili huna?"amesema Influencer Dotto Magari.
Hakuna Mtu GENTAMYCINE namkubali kama Dotto Magari, kwani anachokisema Kwetu Wasomi yuko sahihi 100% zote.
Kama mimi nikisema nahamu ya kubomolewa uchi watu wananuna.Tatizo hapa bongo ukiwa mkweli lazima watu wakuchukie
Watu wanateseka na furaha za wengine 😂Kama mimi nikisema nahamu ya kubomolewa uchi watu wananuna.
Kama ambavyo Kutwa tu GENTAMYCINE nachukiwa kwakuwa tu nasema Ukweli, Sijipendekezi na sina Unafiki wala Uwoga.Tatizo hapa bongo ukiwa mkweli lazima watu wakuchukie
Unamuuliza nani sasa?Kwani ukipakua App ya Bolt ni kwamba huna pikipiki au gari?
Halafu Dotto Magari akituambia Ukweli (akituchana Wasomi) tunachukia na tunamchukia wakati kumbe yuko sahihi mno.Mtu anakunywa bia za laki mbili nyumbani ana shuka mbili moja kujifunika moja kutandika
iPhone 15 pro max, angejua taabu wanayoipata kuzipata.. angewaonea huruma.. kuna watu wanashindwa kukaa wiki nzima Wana hara tu.. wachache wenye uwezo wa kuzinunua ndio wanawapa mateso wasio na uwezo wa kuzinunua... Na wenye wa kuzinunua wengi Wana magari"Wasomi nikiwa nawasema Kutwa msiwe mnanichukia kwani nawatoeni Ushamba na nawafundisha jinsi ya Kufikiri. Unakuta Msomi ananunua Simu aina ya Iphone 15 yenye Thamani ya Shilingi Milioni Tano halafu unakuta amepakuwa App ya Bolt. Sasa kwanini hiyo Shilingi Milioni Tano yako usingenunua tu Pikipiki ya Shilingi Milioni Mbili iwe inakupeleka unakokenda Kutwa na hiyo Shilingi Milioni Tatu ukanunu hata Kiwanja mahala kuliko kutafuta Sifa za Kijinga uonekane una Simu Kali wakati Akili huna?"amesema Influencer Dotto Magari.
Hakuna Mtu GENTAMYCINE namkubali kama Dotto Magari, kwani anachokisema Kwetu Wasomi yuko sahihi 100% zote.
Inasikitisha sana mkuuKama ambavyo Kutwa tu GENTAMYCINE nachukiwa kwakuwa tu nasema Ukweli, Sijipendekezi na sina Unafiki wala Uwoga.
Naona wenye Iphone 5 wameanza kuja kwa Usununu / Hasira. Pole sana Mkuu ila Sindano ya Dotto Magari imekuingia.Huyo nae ni mshamba tu,km washamba wengine
Mtu anaekaa kwenye nyumba iliyochoka ya urithi haniambii kitu
Si nilikwambia kua ukiwa na hamu unicheki pm?Kama mimi nikisema nahamu ya kubomolewa uchi watu wananuna.
Wew na influenza wako wote hamnazo"Wasomi nikiwa nawasema Kutwa msiwe mnanichukia kwani nawatoeni Ushamba na nawafundisha jinsi ya Kufikiri. Unakuta Msomi ananunua Simu aina ya Iphone 15 yenye Thamani ya Shilingi Milioni Tano halafu unakuta amepakuwa App ya Bolt. Sasa kwanini hiyo Shilingi Milioni Tano yako usingenunua tu Pikipiki ya Shilingi Milioni Mbili iwe inakupeleka unakokenda Kutwa na hiyo Shilingi Milioni Tatu ukanunu hata Kiwanja mahala kuliko kutafuta Sifa za Kijinga uonekane una Simu Kali wakati Akili huna?"amesema Influencer Dotto Magari.
Hakuna Mtu GENTAMYCINE namkubali kama Dotto Magari, kwani anachokisema Kwetu Wasomi yuko sahihi 100% zote.