Acheni tu huyu Dotto Magari aendelee Kutudharau Sisi Wasomi wa Tanzania na ninakubaliana nae kwa 100%

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Wasomi nikiwa nawasema Kutwa msiwe mnanichukia kwani nawatoeni Ushamba na nawafundisha jinsi ya Kufikiri. Unakuta Msomi ananunua Simu aina ya Iphone 15 yenye Thamani ya Shilingi Milioni Tano halafu unakuta amepakuwa App ya Bolt. Sasa kwanini hiyo Shilingi Milioni Tano yako usingenunua tu Pikipiki ya Shilingi Milioni Mbili iwe inakupeleka unakokenda Kutwa na hiyo Shilingi Milioni Tatu ukanunu hata Kiwanja mahala kuliko kutafuta Sifa za Kijinga uonekane una Simu Kali wakati Akili huna?"amesema Influencer Dotto Magari.

Hakuna Mtu GENTAMYCINE namkubali kama Dotto Magari, kwani anachokisema Kwetu Wasomi yuko sahihi 100% zote.
 
Hakuna Mtu GENTAMYCINE ninamkubali kama Dotto Magari kwani anachokisema Kwetu Wasomi yuko sahihi 100% zote.
 
Attachments

  • 20240923_105848.jpg
    20240923_105848.jpg
    97.7 KB · Views: 1
"Wasomi nikiwa nawasema Kutwa msiwe mnanichukia kwani nawatoeni Ushamba na nawafundisha jinsi ya Kufikiri. Unakuta Msomi ananunua Simu aina ya Iphone 15 yenye Thamani ya Shilingi Milioni Tano halafu unakuta amepakuwa App ya Bolt. Sasa kwanini hiyo Shilingi Milioni Tano yako usingenunua tu Pikipiki ya Shilingi Milioni Mbili iwe inakupeleka unakokenda Kutwa na hiyo Shilingi Milioni Tatu ukanunu hata Kiwanja mahala kuliko kutafuta Sifa za Kijinga uonekane una Simu Kali wakati Akili huna?"amesema Influencer Dotto Magari.

Hakuna Mtu GENTAMYCINE namkubali kama Dotto Magari kwani anachokisema Kwetu Wasomi yuko sahihi 100% zote.
Anachokifanya huyo jamaa kwa darasa lake la saba, kimemgharimu degree mbili yule mwingine mnayemuita sijui mwijaku
 
"Wasomi nikiwa nawasema Kutwa msiwe mnanichukia kwani nawatoeni Ushamba na nawafundisha jinsi ya Kufikiri. Unakuta Msomi ananunua Simu aina ya Iphone 15 yenye Thamani ya Shilingi Milioni Tano halafu unakuta amepakuwa App ya Bolt. Sasa kwanini hiyo Shilingi Milioni Tano yako usingenunua tu Pikipiki ya Shilingi Milioni Mbili iwe inakupeleka unakokenda Kutwa na hiyo Shilingi Milioni Tatu ukanunu hata Kiwanja mahala kuliko kutafuta Sifa za Kijinga uonekane una Simu Kali wakati Akili huna?"amesema Influencer Dotto Magari.

Hakuna Mtu GENTAMYCINE namkubali kama Dotto Magari, kwani anachokisema Kwetu Wasomi yuko sahihi 100% zote.
Mtu anakunywa bia za laki mbili nyumbani ana shuka mbili moja kujifunika moja kutandika
 
"Wasomi nikiwa nawasema Kutwa msiwe mnanichukia kwani nawatoeni Ushamba na nawafundisha jinsi ya Kufikiri. Unakuta Msomi ananunua Simu aina ya Iphone 15 yenye Thamani ya Shilingi Milioni Tano halafu unakuta amepakuwa App ya Bolt. Sasa kwanini hiyo Shilingi Milioni Tano yako usingenunua tu Pikipiki ya Shilingi Milioni Mbili iwe inakupeleka unakokenda Kutwa na hiyo Shilingi Milioni Tatu ukanunu hata Kiwanja mahala kuliko kutafuta Sifa za Kijinga uonekane una Simu Kali wakati Akili huna?"amesema Influencer Dotto Magari.

Hakuna Mtu GENTAMYCINE namkubali kama Dotto Magari, kwani anachokisema Kwetu Wasomi yuko sahihi 100% zote.
Huyo nae ni mshamba tu,km washamba wengine
Mtu anaekaa kwenye nyumba iliyochoka ya urithi haniambii kitu
 
"Wasomi nikiwa nawasema Kutwa msiwe mnanichukia kwani nawatoeni Ushamba na nawafundisha jinsi ya Kufikiri. Unakuta Msomi ananunua Simu aina ya Iphone 15 yenye Thamani ya Shilingi Milioni Tano halafu unakuta amepakuwa App ya Bolt. Sasa kwanini hiyo Shilingi Milioni Tano yako usingenunua tu Pikipiki ya Shilingi Milioni Mbili iwe inakupeleka unakokenda Kutwa na hiyo Shilingi Milioni Tatu ukanunu hata Kiwanja mahala kuliko kutafuta Sifa za Kijinga uonekane una Simu Kali wakati Akili huna?"amesema Influencer Dotto Magari.

Hakuna Mtu GENTAMYCINE namkubali kama Dotto Magari, kwani anachokisema Kwetu Wasomi yuko sahihi 100% zote.
iPhone 15 pro max, angejua taabu wanayoipata kuzipata.. angewaonea huruma.. kuna watu wanashindwa kukaa wiki nzima Wana hara tu.. wachache wenye uwezo wa kuzinunua ndio wanawapa mateso wasio na uwezo wa kuzinunua... Na wenye wa kuzinunua wengi Wana magari
 
"Wasomi nikiwa nawasema Kutwa msiwe mnanichukia kwani nawatoeni Ushamba na nawafundisha jinsi ya Kufikiri. Unakuta Msomi ananunua Simu aina ya Iphone 15 yenye Thamani ya Shilingi Milioni Tano halafu unakuta amepakuwa App ya Bolt. Sasa kwanini hiyo Shilingi Milioni Tano yako usingenunua tu Pikipiki ya Shilingi Milioni Mbili iwe inakupeleka unakokenda Kutwa na hiyo Shilingi Milioni Tatu ukanunu hata Kiwanja mahala kuliko kutafuta Sifa za Kijinga uonekane una Simu Kali wakati Akili huna?"amesema Influencer Dotto Magari.

Hakuna Mtu GENTAMYCINE namkubali kama Dotto Magari, kwani anachokisema Kwetu Wasomi yuko sahihi 100% zote.
Wew na influenza wako wote hamnazo
 
Back
Top Bottom