kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Huna lolote wewe,na vitaarifa vyako vya kibwege unavyoandika humu jfBenjua basi niipitishe kidogo tu.
Uharo kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna lolote wewe,na vitaarifa vyako vya kibwege unavyoandika humu jfBenjua basi niipitishe kidogo tu.
Wazazi hawataki mtoto wao apate shida! wakamsomesha mpaka chuo ili asipate shida then wakamnunulia simu ya 5m huku anakaa home kula kulala.Kama jobless simu ya 5m kaitoa wapi? Wazazi waweza kuwa na pesa wakampa hawataki mtoto wao apate shida hata kama jobless
Shida nini kwani ?Wazazi hawataki mtoto wao apate shida! wakamsomesha mpaka chuo ili asipate shida then wakamnunulia simu ya 5m huku anakaa home kula kulala.
Kuzurula kutwa kutafuta ajira kwa kazi ya 9k th?!
Mimi ukinipa simu ya thamani hiyo leo, kesho naiuzaa!
Na haandamani"Wasomi nikiwa nawasema Kutwa msiwe mnanichukia kwani nawatoeni Ushamba na nawafundisha jinsi ya Kufikiri. Unakuta Msomi ananunua Simu aina ya Iphone 15 yenye Thamani ya Shilingi Milioni Tano halafu unakuta amepakuwa App ya Bolt. Sasa kwanini hiyo Shilingi Milioni Tano yako usingenunua tu Pikipiki ya Shilingi Milioni Mbili iwe inakupeleka unakokenda Kutwa na hiyo Shilingi Milioni Tatu ukanunu hata Kiwanja mahala kuliko kutafuta Sifa za Kijinga uonekane una Simu Kali wakati Akili huna?"amesema Influencer Dotto Magari.
Hakuna Mtu GENTAMYCINE namkubali kama Dotto Magari, kwani anachokisema Kwetu Wasomi yuko sahihi 100% zote.
Elimu kwa mtoto wa don ni kama burudani ni extra tu.Shida nini kwani ?
Kitanda analalia cha milioni 10
Kwa hiyo kama hana ajira na mzazi ana pesa kwa hiyo alale kwenye mkeka wa elfu moja na simu awe na Nokia torch ?
Pole kwa kuzaliwa familia maskini ambako wanaona simu ya milioni 5 ni Big deal
Watoto wa wenye nazo unakuta hana ajira na mzazi kumnunulia gari ya milioni 80.ya kutembelea anapoenda kutafuta kazi au interview anajaziwa mafuta
Kuwa hana kazi ndio aishi kimaskini wakati familia tajiri haiwezekani itakuwa kushusha hadhi ya familia na watu nje kuona mtoto ananyanyaswa kisa hana kazi
Lazima aishi maisha standard ya level ya utajiri wa familia hata kama ni jobless
😅😅😅😅🤣🤣🤣Huyo nae ni mshamba tu,km washamba wengine
Mtu anaekaa kwenye nyumba iliyochoka ya urithi haniambii kitu