Acheni tu huyu Dotto Magari aendelee Kutudharau Sisi Wasomi wa Tanzania na ninakubaliana nae kwa 100%

Huu bdio ukweli ambao wasomi wengi hatupendi kusikia, perfect !

Watakwambia kila mtu ana vipaumbele vyake lakini lazima ukweli usemwe.
 
Logic za masikini hua unaziamini?πŸ˜„
Mnapewa logic za Maisha na Doto magari,kweli elimu haijawakomboa
Ukienda kwenye nyumba ya ibada ukaambiwa tenda mema ili mwisho wa siku usichomwe moto, wale wanaosema hayo maneno kwako quote vifungu vya maandiko.

Je una uhakika wao huwa wanayafuata na kuyaishi hayo wanayo yafundisha?

Je, kwanini unaita logic za masikini?

Je mtu yeyote mwenye elimu hapaswi kujifunza jambo jipya ”japo” kutoka kwa mtu asie na elimu?

Kwamba mtu masikini hawezi kutoa hoja yenye mashiko?
 

Anatudharau sababu toka tujue ili mambo yetu yaende lazima kuwa chama dola, tumekuwa kama zombies πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚. hata kufikiria hatutaki tena. Tunasubiri huruma ya kiboko ya wachawi ili tuokolewe πŸ˜‚
 
Yaani unamiliki simu ya 5m unatembea kwa miguu!!
Tatizo lenu mnaangalia jambo moja tu, yaani item moja tu simu!

Je wanaohonga pakubwa na kula padogo mbona hamuwasemi?

Mtu anajengea hawara, wakati bado akiishi pangoni!

Wanaume wapumbaf ni wengi kuliko tunavyodhania.
Hao wa simu ghali na huku wakiishi maisha ya hovyo wana nafuu kwa sababu angalao wanamiliki hata hicho kitu.

Kuliko wanaotumikia kichwa cha chini 99% ya mapato yao hadi wanazeeka na kukosa uelekeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…