Acheni tu huyu Dotto Magari aendelee Kutudharau Sisi Wasomi wa Tanzania na ninakubaliana nae kwa 100%

Kwahiyo ukiwa na iphone 16 hutakiwi kua na app ya bolt badala yake uwe na bodaboda yako..

Kama huyo ndio role model wako basi hukupaswa kua mhitimu wa Saut.
Na wewe ndie mwalimu wa Lucas Mwashambwa aisee.
Kwa hiyo na wewe unakubali na kuamini kuwa huyo chizi kasoma chuo? Chuo gani kinapokea machizi?
 
Kupitia hili bandiko lako hapa, ni wazi kabisa huyo Dotto Magari ni Popoma namba 2, huku wewe mwenyewe ukiendelea kushikilia nafasi ya kwanza!

Na ni vizuri ukikutana naye tena, umwambie aache tabia yake ya umbea, kujishaua, kujikosha, na pia kuhangaika na maisha ya watu wengine.
 
Wewe ni mgeni Duniani
 
Mh jamii forum great thinker ndo mnawaza ivyo na kwa mifano iyo ndo inakusababisha udharau wasomi duuuh bas bado tunasafar ndefu sana.

Msomi umetumia akili ndogo kujadili mambo makubwa ama ndo ulichofundishwa rorya
Naona wenye Iphone 5 wameanza kuja kwa Usununu / Hasira. Pole sana Mkuu ila Sindano ya Dotto Magari imekuingia.
 
Kwahiyo ukiwa na iphone 16 hutakiwi kua na app ya bolt badala yake uwe na bodaboda yako..

Kama huyo ndio role model wako basi hukupaswa kua mhitimu wa Saut.
Na wewe ndie mwalimu wa Lucas Mwashambwa aisee.
Naona wenye Iphone 5 wameanza kuja kwa Usununu / Hasira. Pole sana Mkuu ila Sindano ya Dotto Magari imekuingia.
 
Akili huna wahindi mabilionea Tanzania wanaishi nyumba za kupanga za msajili wa majumba

Siyo lazima ununue gari wakati za kukodi zipo wala sio lazima ujenge nyumba wakati nyumba nzuri za kupanga zilizo prime area au city centre zipo na pesa za kulipa unayo uishi eneo zuri sio huko uswahilini mashenzini huko

Wahindi wana pesa watoto wanasoma nje ya nchi vyuo bora duniani na wanaishi nyumba za kupanga

Tafuta pesa wewe uishi vizuri umiliki simu bei mbaya,uishi posh areas sio huko mashenzini mabonde kwinama kisa ohhh nimejenga kwangu? Kwako wapi wewe huko mashenzini nako kwa kujidai kwenu? Pesa kazi yake nini? Maisha ndio hayahaya
 
Kwa hiyo na wewe unakubali na kuamini kuwa huyo chizi kasoma chuo? Chuo gani kinapokea machizi?
Ungenifuata Ofisini kuniomba nikusaidie na Marks? Halafu naomba kukuuliza kale Katabia Kako kabaya ka Chuoni umekaacha?
 
Naona wenye Iphone 5 wameanza kuja kwa Usununu / Hasira. Pole sana Mkuu ila Sindano ya Dotto Magari imekuingia.
 
Naona wenye Iphone 5 wameanza kuja kwa Usununu / Hasira. Pole sana Mkuu ila Sindano ya Dotto Magari imekuingia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…