ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Haahaha 🍺 tamuMimi ni nani mpaka nikupangie mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haahaha 🍺 tamuMimi ni nani mpaka nikupangie mkuu?
Kwa hiyo na wewe unakubali na kuamini kuwa huyo chizi kasoma chuo? Chuo gani kinapokea machizi?Kwahiyo ukiwa na iphone 16 hutakiwi kua na app ya bolt badala yake uwe na bodaboda yako..
Kama huyo ndio role model wako basi hukupaswa kua mhitimu wa Saut.
Na wewe ndie mwalimu wa Lucas Mwashambwa aisee.
Kupitia hili bandiko lako hapa, ni wazi kabisa huyo Dotto Magari ni Popoma namba 2, huku wewe mwenyewe ukiendelea kushikilia nafasi ya kwanza!"Wasomi nikiwa nawasema Kutwa msiwe mnanichukia kwani nawatoeni Ushamba na nawafundisha jinsi ya Kufikiri. Unakuta Msomi ananunua Simu aina ya Iphone 15 yenye Thamani ya Shilingi Milioni Tano halafu unakuta amepakuwa App ya Bolt. Sasa kwanini hiyo Shilingi Milioni Tano yako usingenunua tu Pikipiki ya Shilingi Milioni Mbili iwe inakupeleka unakokenda Kutwa na hiyo Shilingi Milioni Tatu ukanunu hata Kiwanja mahala kuliko kutafuta Sifa za Kijinga uonekane una Simu Kali wakati Akili huna?"amesema Influencer Dotto Magari.
Hakuna Mtu GENTAMYCINE namkubali kama Dotto Magari, kwani anachokisema Kwetu Wasomi yuko sahihi 100% zote.
Wewe ni mgeni DunianiUkienda kwenye nyumba ya ibada ukaambiwa tenda mema ili mwisho wa siku usichomwe moto, wale wanaosema hayo maneno kwako quote vifungu vya maandiko.
Je una uhakika wao huwa wanayafuata na kuyaishi hayo wanayo yafundisha?
Je, kwanini unaita logic za masikini?
Je mtu yeyote mwenye elimu hapaswi kujifunza jambo jipya ”japo” kutoka kwa mtu asie na elimu?
Kwamba mtu masikini hawezi kutoa hoja yenye mashiko?
Zile zinazokuingiaga 'Unyabengani' Kwako na unazifurahia siyo Takataka?Msomi hujui hata kuandika, unaandika takataka.
Kwani na Wewe huo Utaahira ulionao ulipona lini?Mtu kafanywa kama taahira nyie mnamuona mjanja 😄😄
Ukiwa Uganda au Tz?Zile zinazokuingiaga 'Unyabengani' Kwako na unazifurahia siyo Takataka?
Ndiyo maana ninamkubali sana Dotto Magari.Huyo amesema ukweli!
Kwahiyo kumbe huwa unakuja Kwangu hapa Uganda ili nikuingizie? Nashukuru leo umeamua kutoa Siri ya Kuingiziwa.Ukiwa Uganda au Tz?
Wewe ni Mweupe / Mzungu?MTU mweusi ni MTU mjinga Sana
Naona wenye Iphone 5 wameanza kuja kwa Usununu / Hasira. Pole sana Mkuu ila Sindano ya Dotto Magari imekuingia.Hata child support ya mtoto wake anashindwa kutoa mpaka ashitakiwe
Jibu moja mujarabu sana kuna watu wanafikiri nje ya box km hivi sio kila anaeishi nyumba ya kupanga hana nyumbaKwani ukipakua App ya Bolt ni kwamba huna pikipiki au gari?
99% ya Wasomi wengi wa Tanzania wako hivyo na hata hapa katika huu Uzi wangu nadhani unawaona baadhi yao Mkuu.Yaani unamiliki simu ya 5m unatembea kwa miguu!!
Naona wenye Iphone 5 wameanza kuja kwa Usununu / Hasira. Pole sana Mkuu ila Sindano ya Dotto Magari imekuingia.Mh jamii forum great thinker ndo mnawaza ivyo na kwa mifano iyo ndo inakusababisha udharau wasomi duuuh bas bado tunasafar ndefu sana.
Msomi umetumia akili ndogo kujadili mambo makubwa ama ndo ulichofundishwa rorya
Naona wenye Iphone 5 wameanza kuja kwa Usununu / Hasira. Pole sana Mkuu ila Sindano ya Dotto Magari imekuingia.Kwahiyo ukiwa na iphone 16 hutakiwi kua na app ya bolt badala yake uwe na bodaboda yako..
Kama huyo ndio role model wako basi hukupaswa kua mhitimu wa Saut.
Na wewe ndie mwalimu wa Lucas Mwashambwa aisee.
Akili huna wahindi mabilionea Tanzania wanaishi nyumba za kupanga za msajili wa majumba"Wasomi nikiwa nawasema Kutwa msiwe mnanichukia kwani nawatoeni Ushamba na nawafundisha jinsi ya Kufikiri. Unakuta Msomi ananunua Simu aina ya Iphone 15 yenye Thamani ya Shilingi Milioni Tano halafu unakuta amepakuwa App ya Bolt. Sasa kwanini hiyo Shilingi Milioni Tano yako usingenunua tu Pikipiki ya Shilingi Milioni Mbili iwe inakupeleka unakokenda Kutwa na hiyo Shilingi Milioni Tatu ukanunu hata Kiwanja mahala kuliko kutafuta Sifa za Kijinga uonekane una Simu Kali wakati Akili huna?"amesema Influencer Dotto Magari.
Hakuna Mtu GENTAMYCINE namkubali kama Dotto Magari, kwani anachokisema Kwetu Wasomi yuko sahihi 100% zote.
Ungenifuata Ofisini kuniomba nikusaidie na Marks? Halafu naomba kukuuliza kale Katabia Kako kabaya ka Chuoni umekaacha?Kwa hiyo na wewe unakubali na kuamini kuwa huyo chizi kasoma chuo? Chuo gani kinapokea machizi?
Naona wenye Iphone 5 wameanza kuja kwa Usununu / Hasira. Pole sana Mkuu ila Sindano ya Dotto Magari imekuingia.Kupitia hili bandiko lako hapa, ni wazi kabisa huyo Dotto Magari ni Popoma namba 2, huku wewe mwenyewe ukiendelea kushikilia nafasi ya kwanza!
Na ni vizuri ukikutana naye tena, umwambie aache tabia yake ya umbea, kujishaua, kujikosha, na pia kuhangaika na maisha ya watu wengine.
Naona wenye Iphone 5 wameanza kuja kwa Usununu / Hasira. Pole sana Mkuu ila Sindano ya Dotto Magari imekuingia.Akili huna wahindi mabilionea Tanzania wanaishi nyumba za kupanga za msajili wa majumba
Siyo lazima ununue gari wakati za kukodi zipo wala sio lazima ujenge nyumba wakati nyumba nzuri za kupanga zilizo prime area a8 city centre zipo na pesa za kulipa unayo uishi eneo zur8 suo huko uswahilini mashenzini huko
Wahindi wana pesa watoto wanasoma nje ya nchi vyuo bora duniani na wanaishi nyumba za kupanga
Tafuta pesa wewe uishi vizuri umiliki simu bei mbaya,uishi posh areas sio huko mashenzini mabonde kwinama kisa ohhh nimejenga kwangu? Kwako wapi wewe huko mashenzini nako kwa kujidai kwenu? Pesa kazi yake nini? Maisha ndio hayahaya