The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Ukwamani ni Uganda?wasalimie hapo msikitiki.Kwahiyo kumbe huwa unakuja Kwangu hapa Uganda ili nikuingizie? Nashukuru leo umeamua kutoa Siri ya Kuingiziwa.
Chizi ni chizi tu.Ungenifuata Ofisini kuniomba nikusaidie na Marks? Halafu naomba kukuuliza kale Katabia Kako kabaya ka Chuoni umekaacha?
Punga anasugua? Toka lini?Ukwamani ni Uganda?wasalimie hapo msikitiki.
Au njoo hata infotech nikusugue kidogo
Bado mpaka leo unapenda Kuvaa Suruali za Kubana na ukitembea unakata Kiuno?Chizi ni chizi tu.
Hakuna sindano hapo kaandika upuuzi mtupu.Naona wenye Iphone 5 wameanza kuja kwa Usununu / Hasira. Pole sana Mkuu ila Sindano ya Dotto Magari imekuingia.
Naona wenye Iphone 5 wameanza kuja kwa Usununu / Hasira. Pole sana Mkuu ila Sindano ya Dotto Magari imekuingia.Hakuna sindano hapo kaandika upuuzi mtupu.
Binafsi sizifagilii iphone ila kama wewe ni msomi na umeingia kwenye 18 zake basi kama taifa tuna safari ndefu sana.
Nakazia ujumbe wako mkuuKupitia hili bandiko lako hapa, ni wazi kabisa huyo Dotto Magari ni Popoma namba 2, huku wewe mwenyewe ukiendelea kushikilia nafasi ya kwanza!
Na ni vizuri ukikutana naye tena, umwambie aache tabia yake ya umbea, kujishaua, kujikosha, na pia kuhangaika na maisha ya watu wengine.
Maisha usimpangie mtu atumiaje pesa yake pambana na ulofa wakoNaona wenye Iphone 5 wameanza kuja kwa Usununu / Hasira. Pole sana Mkuu ila Sindano ya Dotto Magari imekuingia.
Kwani na wewe ni msomi?Hakuna Mtu GENTAMYCINE namkubali kama Dotto Magari, kwani anachokisema Kwetu Wasomi yuko sahihi 100% zote.
Naona wenye Iphone 5 wameanza kuja kwa Usununu / Hasira. Pole sana Mkuu ila Sindano ya Dotto Magari imekuingia.
Kumdharau msomi au elimu kwa kuusifu ujinga sidhani kama ni njia sahihi hata kidogo. Msifie unayemsifia kwa vigezo ulivyoona ila kuwakebehi wasomi ni ujinga mwingine pia.
Baada ya Yeye 'Kukukazia' Kunakotukuka au?Nakazia ujumbe wako mkuu
Naona wenye Iphone 5 wameanza kuja kwa Usununu / Hasira. Pole sana Mkuu ila Sindano ya Dotto Magari imekuingia.Maisha usimpangie mtu atumiaje pesa yake pambana na ulofa wako
Pesa yake kinakuwasha nini kuwa a atumiaje
Ulimsaidia kutafuta
Jitu nzima tena dume limbeya utafikiri mwanamke wewe na huyo bwege Dotto magari mwenzio
Basha wako ni Msomi?Kwani na wewe ni msomi?
Naona wenye Iphone 5 wameanza kuja kwa Usununu / Hasira. Pole sana Mkuu ila Sindano ya Dotto Magari imekuingia.Ah..ah...aisifuye mvua......
Nani anayemsifi huyo kwa kukebehi wasomi kama siyo mtu "X" hapa?..
Tafuta hela acha kusifiasifiaNaona wenye Iphone 5 wameanza kuja kwa Usununu / Hasira. Pole sana Mkuu ila Sindano ya Dotto Magari imekuingia.
Aliyekwambia nchi hii ina wasomi nani? Dotto mwenyewe huwa anasema "mnaojiita wasomi"Basha wako ni Msomi?