Acheni tu huyu Dotto Magari aendelee Kutudharau Sisi Wasomi wa Tanzania na ninakubaliana nae kwa 100%

Naona wenye Iphone 5 wameanza kuja kwa Usununu / Hasira. Pole sana Mkuu ila Sindano ya Dotto Magari imekuingia.
Hakuna sindano hapo kaandika upuuzi mtupu.
Binafsi sizifagilii iphone ila kama wewe ni msomi na umeingia kwenye 18 zake basi kama taifa tuna safari ndefu sana.
 
Kumdharau msomi au elimu kwa kuusifu ujinga sidhani kama ni njia sahihi hata kidogo. Msifie unayemsifia kwa vigezo ulivyoona ila kuwakebehi wasomi ni ujinga mwingine pia.

Kupitia hili bandiko lako hapa, ni wazi kabisa huyo Dotto Magari ni Popoma namba 2, huku wewe mwenyewe ukiendelea kushikilia nafasi ya kwanza!

Na ni vizuri ukikutana naye tena, umwambie aache tabia yake ya umbea, kujishaua, kujikosha, na pia kuhangaika na maisha ya watu wengine.
Nakazia ujumbe wako mkuu
 
Naona wenye Iphone 5 wameanza kuja kwa Usununu / Hasira. Pole sana Mkuu ila Sindano ya Dotto Magari imekuingia.
Maisha usimpangie mtu atumiaje pesa yake pambana na ulofa wako

Pesa yake kinakuwasha nini kuwa a atumiaje

Ulimsaidia kutafuta

Jitu nzima tena dume limbeya utafikiri mwanamke wewe na huyo bwege Dotto magari mwenzio
 
Kumdharau msomi au elimu kwa kuusifu ujinga sidhani kama ni njia sahihi hata kidogo. Msifie unayemsifia kwa vigezo ulivyoona ila kuwakebehi wasomi ni ujinga mwingine pia.

Naona wenye Iphone 5 wameanza kuja kwa Usununu / Hasira. Pole sana Mkuu ila Sindano ya Dotto Magari imekuingia.
 
Maisha usimpangie mtu atumiaje pesa yake pambana na ulofa wako

Pesa yake kinakuwasha nini kuwa a atumiaje

Ulimsaidia kutafuta

Jitu nzima tena dume limbeya utafikiri mwanamke wewe na huyo bwege Dotto magari mwenzio
Naona wenye Iphone 5 wameanza kuja kwa Usununu / Hasira. Pole sana Mkuu ila Sindano ya Dotto Magari imekuingia.
 
Ah..ah...aisifuye mvua......

Nani anayemsifi huyo kwa kukebehi wasomi kama siyo mtu "X" hapa?..​

Back
Top Bottom