Acheni tu huyu Dotto Magari aendelee Kutudharau Sisi Wasomi wa Tanzania na ninakubaliana nae kwa 100%

Kunywa bia wewe..iphone haijengi nyumba
 
Umaarufu bongo unapatikana kwa kushambulia watu wengine. Akisimama huyo msomi akaanza kujibu mtasema ana jeuri kwa kusomeshwa na kodi zenu. Acheni kupamba ujinga. Hii dunia kila mtu ana sehemu yake na umuhimu wake.
 
Mh jamii forum great thinker ndo mnawaza ivyo na kwa mifano iyo ndo inakusababisha udharau wasomi duuuh bas bado tunasafar ndefu sana.

Msomi umetumia akili ndogo kujadili mambo makubwa ama ndo ulichofundishwa rorya
Mleta mada anajifanya mjanja sana na upstair ni mweupe kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…