Hivi na majanga ni taarabu?
hehehe sijambo msomi mwenzangu..
pembe la ng'ombe aliimba Hamma Q au Alicom?
Majanga haieleweki hata stile ya kucheza ni issue khu!
mziki wa wambea na kuchambana
Weeee tulia
ubarikiwe.Karibu, Chukua na hii verse
"Mtaniona hivi hivi mtanionaaaaa, kwangu mtasubiri sana, naogopa ya subuhana sihofu ya mlimwenguuuu"
naonaga wauza maduka hasa wanawake huwa wanaweka taarabu wakiwa kazini,sauti ya chini...ila sikujua siri yaohapana sio kweli me ukitaka unione mfanyakazi bora bac niwe nasikiliza taarabu kwa mbaaali utanipenda kila kitu kinaenda sawa, na nikiwa home namaliza kazi zng haraka sana nikiwa nasindikizwa na hii kitu, tatizo ndo mtu wng ndo anaamini km wewe so akisafiri kwng burudani nipo huru kusikiliza akirudi utata unaanza
naonaga wauza maduka hasa wanawake huwa wanaweka taarabu wakiwa kazini,sauti ya chini...ila sikujua siri yao
ushawahi kusikiliza buez au slow jams?sasa na taarabu tofauti nini si ndo utalala kaziniumeonaeee! sasa siri ndo hiyo nimekupa, yan huchoki unatamani uwe busy muda wote
hapana sio kweli me ukitaka unione mfanyakazi bora bac niwe nasikiliza taarabu kwa mbaaali utanipenda kila kitu kinaenda sawa, na nikiwa home namaliza kazi zng haraka sana nikiwa nasindikizwa na hii kitu, tatizo ndo mtu wng ndo anaamini km wewe so akisafiri kwng burudani nipo huru kusikiliza akirudi utata unaanza
Namkubali sana jamaa,...hanaga makuu,..yaani mwelewa sana,..sipendi taarabu kabisa,yaani delete futa kabisa...ila coz ni mshikaji tunawasiliana fresh nikawa nafuatilia kazi zake za mzikiAka mie kwenye ishu hizi hata sio mzungu/msomi, hapa umenifikisha nitaimba hadi asubuhi sichokiiiii ng'ooooooo
Pembe la Ngo'mbe - YouTube
halafu sio huu bhana,,,,,,,ule unachezeka hapa usingizi tuAka mie kwenye ishu hizi hata sio mzungu/msomi, hapa umenifikisha nitaimba hadi asubuhi sichokiiiii ng'ooooooo
Pembe la Ngo'mbe - YouTube
hahahahahaaaa! wanifurahishaje wanifanya niache kula ujue
AL-Watan......Mrembo by nature Al-Watan.
mziki wa wambea na kuchambana