Acheni tu taarabu ni tamu, na zinafunza jamii haswaa!

mziki wa wambea na kuchambana

hapana sio kweli me ukitaka unione mfanyakazi bora bac niwe nasikiliza taarabu kwa mbaaali utanipenda kila kitu kinaenda sawa, na nikiwa home namaliza kazi zng haraka sana nikiwa nasindikizwa na hii kitu, tatizo ndo mtu wng ndo anaamini km wewe so akisafiri kwng burudani nipo huru kusikiliza akirudi utata unaanza
 
naonaga wauza maduka hasa wanawake huwa wanaweka taarabu wakiwa kazini,sauti ya chini...ila sikujua siri yao
 
umeonaeee! sasa siri ndo hiyo nimekupa, yan huchoki unatamani uwe busy muda wote
 
ushawahi kusikiliza buez au slow jams?sasa na taarabu tofauti nini si ndo utalala kazini
 
hapana sio kweli me ukitaka unione mfanyakazi bora bac niwe nasikiliza taarabu kwa mbaaali utanipenda kila kitu kinaenda sawa, na nikiwa home namaliza kazi zng haraka sana nikiwa nasindikizwa na hii kitu, tatizo ndo mtu wng ndo anaamini km wewe so akisafiri kwng burudani nipo huru kusikiliza akirudi utata unaanza

Jahazi Modern Taarab - Roho Mbaya Haijengi - YouTube
 
taarabu inachangamsha bwana,hizo huwa nasikiliza ila huwa napenda kusikiliza nikiwa nahitaji utulivu tena niwe peke yangu ndo huwa nazitumia sana hizi
 
nadhani utakuwa pwani,dar au tanga,tetete we luv
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom