lazima na wine pembenitaarabu inachangamsha bwana,hizo huwa nasikiliza ila huwa napenda kusikiliza nikiwa nahitaji utulivu tena niwe peke yangu ndo huwa nazitumia sana hizi
Chukua na hiyo, kama umeshiba mpatie @Exellent
Leyla Rashid & Jahazi Modern Taarab - Fungu La Mungu Sikosi - YouTube
Napenda kusikiliza nikiwa nafua au nafanya kazi za nyumbani....tamuje uwiiiiiiii
"Aaaa Mungu kanipa kauli nzuri niongee na watu kwanini wasinipendeeeee"
Msiniite mswahili japo mie mtanzania nazungumza kiswahili na kiswahili asili yangu. Wanajamii taarabu zinamafunzo kweli kweli na huwa hazichoshi kusikiliza. Mfano huyu mdada Leyla Rashidi verse zake zimeenda shule sana.
"Kizingiti cha manani ni mtihani kwa mja, hata uwe mashakani usisite kumtaja"
"Kauli ya molaaaaaaa silaha nzitoooo alipangalo ndilo litakuwaaaa"
Leyla Rashid & Jahazi Modern Taarab - Fungu La Mungu Sikosi - YouTube.
Hivi mnikumbushe na ule wa marupe rupe ndio unasemaje vile?
CC
Wapenzi wenzangu wa nyimbo za mwambao
Hizi ndio taarabu,siku hizi tunarusha rohoewe njiwa peleka salamu
Hizi ndio taarabu,siku hizi tunarusha roho
ngoja wakuibe siku moja kama utaiona njia ya kurudia.......lazima uombe poooo wiki nzima
siteteleki,siteleki na lawama namuachia munyazi mungu
R. I. P Ahmed Mgeni.
Bravo shosti !! mie nimestaafu...jamaniiTupiamo basi msitari hapa
Magomeni mitaa ya travetine na kinondoninataka kuibwa,nijiweke wapi waniibe kirahs na nisione njia ya kurudi
Hivi na majanga ni taarabu?
Tarabu tamu kweli.... Vijana wengi wakike na kiume wameanza ushoga sababu ya tarabu I hate it