Acheni tu taarabu ni tamu, na zinafunza jamii haswaa!

Acheni tu taarabu ni tamu, na zinafunza jamii haswaa!

taarabu inachangamsha bwana,hizo huwa nasikiliza ila huwa napenda kusikiliza nikiwa nahitaji utulivu tena niwe peke yangu ndo huwa nazitumia sana hizi
lazima na wine pembeni
 
"Aaaa Mungu kanipa kauli nzuri niongee na watu kwanini wasinipendeeeee"

Msiniite mswahili japo mie mtanzania nazungumza kiswahili na kiswahili asili yangu. Wanajamii taarabu zinamafunzo kweli kweli na huwa hazichoshi kusikiliza. Mfano huyu mdada Leyla Rashidi verse zake zimeenda shule sana.

"Kizingiti cha manani ni mtihani kwa mja, hata uwe mashakani usisite kumtaja"

"Kauli ya molaaaaaaa silaha nzitoooo alipangalo ndilo litakuwaaaa"

Leyla Rashid & Jahazi Modern Taarab - Fungu La Mungu Sikosi - YouTube.


Hivi mnikumbushe na ule wa marupe rupe ndio unasemaje vile?

CC

Wapenzi wenzangu wa nyimbo za mwambao

kuna wimbo mmoja hivi wa marehemu nasma hamisi unaitwa mwanamke mazingira naupenda sana huo wimbo wala sichokagi kuusikiliz jamani though am a man.
 
ananifikisha sio naenda mbagala anaishia tandika huyo ni malkia wa tarabu bi khadija ommary kopa mama anajua bwana
 
Asiyekujua hakuthamini,nyuki anapigwa moto sababu ya asali yakeeee
 
Haloooooooooo!!!!!!!!!!!! mashairi siyajui vizuri lakini napenda,,,,
kitanda kidogo eee chanibana bana nataka kulala na bwana raha zikizidi tutaangusha!!!!!!!

hii mistari yanikosha pia,,,,,,,,,,;
nimerudi kwa muadhama aaaa pesa roho wa mapenzi mmmmmh!!!!!
kwenu nimekwisha hama aaaaaaaa mmeshindwa kunienzi iiiiiiiiiiiiiiii huku nna lishwa nyama ya mishkaki ya mbuzi
 
"Kwanza tuheshimianee, mimi nawe hatushei mume walau nikudiscuss. Uongo tusizuliane na vibaya usiniseme ukanitilia nuksi". Afu pale sasa "una hamu nikuseme, nikikusema utaliaaa, una hamu nikuchambe, nikikuchamba utazimiaaa"

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tarabu tamu kweli.... Vijana wengi wakike na kiume wameanza ushoga sababu ya tarabu I hate it
 
Kuna lile song la Mzee Yusuph...ndani yake kuna maneno kama 'kanishika hapa kanishika pale....'

Ule wimbo una maneno ya mahabati sana
 
Back
Top Bottom