"Kwanza tuheshimianee, mimi nawe hatushei mume walau nikudiscuss. Uongo tusizuliane na vibaya usiniseme ukanitilia nuksi". Afu pale sasa "una hamu nikuseme, nikikusema utaliaaa, una hamu nikuchambe, nikikuchamba utazimiaaa"
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Haloooooooooo!!!!!!!!!!!! mashairi siyajui vizuri lakini napenda,,,,
kitanda kidogo eee chanibana bana nataka kulala na bwana raha zikizidi tutaangusha!!!!!!!
hii mistari yanikosha pia,,,,,,,,,,;
nimerudi kwa muadhama aaaa pesa roho wa mapenzi mmmmmh!!!!!
kwenu nimekwisha hama aaaaaaaa mmeshindwa kunienzi iiiiiiiiiiiiiiii huku nna lishwa nyama ya mishkaki ya mbuzi
Hahaaaaa yami mm nikiona mwanaume anapenda tarabu najua ni chakla tu
Hahaaaaa yami mm nikiona mwanaume anapenda tarabu najua ni chakla tu
Inaitwa modern taarab bwana, za zamani ni classical
Tina Tina Tina na pesa!!! we haya wee!
"Kwanza tuheshimianee, mimi nawe hatushei mume walau nikudiscuss. Uongo tusizuliane na vibaya usiniseme ukanitilia nuksi". Afu pale sasa "una hamu nikuseme, nikikusema utaliaaa, una hamu nikuchambe, nikikuchamba utazimiaaa"
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
pesa sabuni ya roho inatafutwa itumike,,,,,,,,, usiogope!!!!!!!!!!!!!
"Aaaa Mungu kanipa kauli nzuri niongee na watu kwanini wasinipendeeeee"
Msiniite mswahili japo mie mtanzania nazungumza kiswahili na kiswahili asili yangu. Wanajamii taarabu zinamafunzo kweli kweli na huwa hazichoshi kusikiliza. Mfano huyu mdada Leyla Rashidi verse zake zimeenda shule sana.
"Kizingiti cha manani ni mtihani kwa mja, hata uwe mashakani usisite kumtaja"
"Kauli ya molaaaaaaa silaha nzitoooo alipangalo ndilo litakuwaaaa"
Leyla Rashid & Jahazi Modern Taarab - Fungu La Mungu Sikosi - YouTube.
Hivi mnikumbushe na ule wa marupe rupe ndio unasemaje vile?
CC
Wapenzi wenzangu wa nyimbo za mwambao
Kazi kweli kweli! Heaven kwa mashairi hayo uliyokariri ukigombana na mtu si atajificha au ni tofauti na uhalisia wako.
mziki gani kuongea puani vidole juu kama mikia ya nge?
Mwenzenu nimepagawaKuna lile song la Mzee Yusuph...ndani yake kuna maneno kama 'kanishika hapa kanishika pale....'
Ule wimbo una maneno ya mahabati sana
Analotaka Razaki,katu halirudi nyumaa
Yenu ni kuliafiki,sharia itasimama
Ni bure kunidhihaki,na kunijaza lawama
Midomoni sibanduki,waja hamwishi kusema
Mimi kupewa riziki vipi roho zawaumaaa
Mpewa hapokonyeki muelewe wanadama
My favourite
heri nikubembeleze mpaka ulale ukiwa hoiAyaaaaaa........we hilo dudu umelitajia nini usiku huu.......ole wako nisilale.........