Mmekosa kazi
mziki wa wambea na kuchambana
ukiona mwanaume anasikiliza taarabu shtuka sanaMe mwanamme anayependa kuskiliza taarabu hata simuelewagi.
Me mwanamme anayependa kuskiliza taarabu hata simuelewagi.
Jipu la kwapa mi hoiHahaha VIP nafasi yanguuuuuuuuuu
Sioni tofauti ya taarabu na bongo fleva... Wote vina vinahusika....lakini ngwasuma hakuna vina...ukiona mwanaume anasikiliza taarabu shtuka sana
kwa hiyo Mzee Yusuph humuelewi..?Me mwanamme anayependa kuskiliza taarabu hata simuelewagi.
"Jua ulianza ufizi ndio meno yakajaaaaaaa, namuamini mwenyezi ndio nguzo ya hajaaaaaaa"
kwa hiyo Mzee Yusuph humuelewi..?
Ule ni Mchiriku...
Taarabu za zamani bana
Ni bure zenu fitina, si wala hatuachanani
Wenyewe tumependana, kuachana ni muhali
"Aaaa Mungu kanipa kauli nzuri niongee na watu kwanini wasinipendeeeee"
Msiniite mswahili japo mie mtanzania nazungumza kiswahili na kiswahili asili yangu. Wanajamii taarabu zinamafunzo kweli kweli na huwa hazichoshi kusikiliza. Mfano huyu mdada Leyla Rashidi verse zake zimeenda shule sana.
"Kizingiti cha manani ni mtihani kwa mja, hata uwe mashakani usisite kumtaja"
"Kauli ya molaaaaaaa silaha nzitoooo alipangalo ndilo litakuwaaaa"
Leyla Rashid & Jahazi Modern Taarab - Fungu La Mungu Sikosi - YouTube.
Hivi mnikumbushe na ule wa marupe rupe ndio unasemaje vile?
CC
Wapenzi wenzangu wa nyimbo za mwambao
Nazichukia sn taarabu.
Hata nikifika ghafla nyumbani nikikuta wanasikiliza wanawahi kuzima fasta.
Mimi nahisi taarabu kama vile kuwasimanga majirani zangu, na nishawahi kuvunja cd za mpenda taarabu nyumbani mwangu!
Ila uwongo mbaya nikisikia maneno kwenye wimbo fulani wa taarabu yanasema UMEKUNYWA SODA ZANGU... UTANIBEBA LEO!...natamani yaendelee hayo tu!...huko kwingine kunakoendelea sikupendi!
Konnie hebu nikumbushe mashairi ya ule wimbo wa "Sina mimi sina, mwengine zaidi yako" nadhani mwimbaji alikuwa ni Bi Nasma Khamis Kidogo R.I.P
Kuna siku niliona weye na mtani wangu snowhite mwabadilishana maneno ya hilo jisongi...