snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
Na wengine wanasema si mzuri yeyeSina mimi sina, mwingine zaidi yako weweeee
Sina mimi sina, atakayekushinda weweeeee
Ni wewe hakuna mwingine anipendezaye
Wala kulingana nawe simuoni huyooo *2
Ni wewe peke yako unitoshayeee
Kwa tabia na haiba nimempenda mwenyeweee
Sina miiimi sinaaaaaa anayekushinda weeeeewe!
ehehehehheheh watu8 umenikumbusha mbali sana!
af konnie kuna kile kitu cha
Mapenzi jama yananiiitatiza eeenh
jamani mapenzi yananiiiitatiza eeenh
kulala siiiwezi kusema siiiiwezi chakula siiiitak' .... nakiona sumu!
Mapenzi yana hadaaa nami niko ugenini
mapenzi yana hadaaa nami niko ugenini
kumpata wa kufaaa najitia hatiani
kumpata wa kufaa najitia hatini
mapenzi yana .......ehehehhehe hebu ninyamaze mimi mtani usije ukaenda kuniombe kazi kwa mzee yusuph bure!
Last edited by a moderator: