Acheni tu taarabu ni tamu, na zinafunza jamii haswaa!

Acheni tu taarabu ni tamu, na zinafunza jamii haswaa!

Sina mimi sina, mwingine zaidi yako weweeee
Sina mimi sina, atakayekushinda weweeeee

Ni wewe hakuna mwingine anipendezaye
Wala kulingana nawe simuoni huyooo *2
Ni wewe peke yako unitoshayeee
Na wengine wanasema si mzuri yeye
Kwa tabia na haiba nimempenda mwenyeweee
Sina miiimi sinaaaaaa anayekushinda weeeeewe!
ehehehehheheh watu8 umenikumbusha mbali sana!

af konnie kuna kile kitu cha
Mapenzi jama yananiiitatiza eeenh
jamani mapenzi yananiiiitatiza eeenh
kulala siiiwezi kusema siiiiwezi chakula siiiitak' .... nakiona sumu!

Mapenzi yana hadaaa nami niko ugenini
mapenzi yana hadaaa nami niko ugenini
kumpata wa kufaaa najitia hatiani
kumpata wa kufaa najitia hatini

mapenzi yana .......ehehehhehe hebu ninyamaze mimi mtani usije ukaenda kuniombe kazi kwa mzee yusuph bure!
 
Last edited by a moderator:
.......ehehehhehe hebu ninyamaze mimi mtani usije ukaenda kuniombe kazi kwa mzee yusuph bure!

Ha ha ha!!!

Enzi hizo ulikuwa ukiitwa muziki wa mambao...sehemu kubwa ya tungo zake zilichagizwa na maneno ya mahabat...
 
Nikuombee mara ngapi? Taarabu za zamani zilikuwa tamu sana
Zinanikumbusha sana maisha ya zamani, if I could turn back the time

Na wengine wanasema si mzuri yeye
Kwa tabia na haiba nimempenda mwenyeweee
Sina miiimi sinaaaaaa anayekushinda weeeeewe!
ehehehehheheh watu8 umenikumbusha mbali sana!

af konnie kuna kile kitu cha
Mapenzi jama yananiiitatiza eeenh
jamani mapenzi yananiiiitatiza eeenh
kulala siiiwezi kusema siiiiwezi chakula siiiitak' .... nakiona sumu!

Mapenzi yana hadaaa nami niko ugenini
mapenzi yana hadaaa nami niko ugenini
kumpata wa kufaaa najitia hatiani
kumpata wa kufaa najitia hatini

mapenzi yana .......ehehehhehe hebu ninyamaze mimi mtani usije ukaenda kuniombe kazi kwa mzee yusuph bure!
 
mi napenda mstari flani wa Hadija Kopa, anaimba "Hivyo vi ........... Vyenu vinavyo wapa jeuri atavipiga Marufuku
 
na je mtu akiwa mswahili ni jambo baya?

Jinsi ambavyo wasemavyo hao wenye mambo ya 'kizungu' unaweza kudhani ni jambo baya.

Kwani wewe hujawahi kusikia watu, hasa wadada, wakisema 'ah mi sina hayo mambo ya kiswahili swahili'?
 
Nikuombee mara ngapi? Taarabu za zamani zilikuwa tamu sana
Zinanikumbusha sana maisha ya zamani, if I could turn back the time

kwa kweli napenda mashairi ya kila namna!
huwa siachi kusikiliza taarab jumapili kuanzia saa 12 mpak saa 3 usiku!
nahama tu toka kwa nyawana naenda kwa ghea nikimaliza nahamia kwa dida!
basi mradi raaaaha!
 
Ukweli mi taarab za sikuizi hata sizijui.

Sina mzuka nazo.

Taarab za zamani, haziishi ham kuziskiliza. Mambo ya malavidavi. Na hata mipasho ilikua ya mafumbo, kama mtu si muelewa haoni ndani
 
Ha ha ha, vijana watajulia wapi wakati washarahisishiwa na instagram, fb na twira?

Ilikuwani kibarua cha miaka kabisa.

Unatulia kwenye kiti huku unajitingisha taratiiiiibu.
Wimbo unaingia mpk ndani ya moyo.

Sio sikuizi, kutoana kijasho tu.
 
Jinsi ambavyo wasemavyo hao wenye mambo ya 'kizungu' unaweza kudhani ni jambo baya.

Kwani wewe hujawahi kusikia watu, hasa wadada, wakisema 'ah mi sina hayo mambo ya kiswahili swahili'?
sijui kwa nini hili neno linatumika vibaya eti mambo ya hovyo hovyo ndio yanaitwa ya kiswaili
 
sijui kwa nini hili neno linatumika vibaya eti mambo ya hovyo hovyo ndio yanaitwa ya kiswaili

Tulishapumbazwa zamani tukaaminishwa na kuamini mazima kwamba mambo ya Wazungu ndiyo mazuri, yaliyostaarabika, na kadhalika.

Wewe huoni watu wakitaka waonekane ni wa kisasa, wastaarabu, wasomi, na wenye hadhi huongea kizungu?

Huoni watu hupenda kutupia tupia kizungu ili waonekane ni wasomi? Hujawahi kusikia kwamba kizungu kinaongeza hadhi?

Inasikitisha lakini ndo hivyo tena.
 
Chukua na hii:

Ukiiiiiiiiiendekeza njaaaa,.................... Huendelei maishaaa,
Mungu kakuwashia taa,..................... Na afadhali ya maisha,

................................
 
Ha ha ha!! sio kama vile maungo ya nyuma yanaporindima pale linaposugua kisigino baada ya kutoka kujikosha mwili kwenye mabafu yetu yale ya uani...

02.JPG

enheee!!ahsante kwa kielelezo stahiki watu8!.sasa namimi hapo kwa nyuma ndo namong'onyoa mauno km fally ipupa!.wenge utamu lake unaweza kusahu jna lako km isaac newton!
 
Hewalaaaa...huu wimbo
naukumbuka sana kwani enzi hizo za ujana wangu wenyewe tukijiita 'cheki
bobu' basi kulikuwa na binti namsarandia akiitwa kwa jina Sina.

Sasa wimbo huu nilipotoa tu dedikesheni kwa binti Sina, ukawa
umenirahisishia kazi ngumu ya tongozo (vijana wa zamani wanajua jinsi
tongozo lilivyokuwa ni kibarua kigumu kama cha kuchuna ngozi ya
kitimoto)...

Kumbe taarab ina kazi nyingi!
 
Back
Top Bottom