Acheni tu taarabu ni tamu, na zinafunza jamii haswaa!

Acheni tu taarabu ni tamu, na zinafunza jamii haswaa!

Hahahahahah dada Mrembo by Nature mie naja na hiii ya mwanahawa ally


Umaskini wangu haunipi tahayuri
Bure mkinikebekhi ni ya mola takadiri
Mimi sizijali stihizai zenu walimwengu
Katu sitobadilika nikauza utu watu....

Nna amini kupata na kukosa ni jaala yake mungu
Sizijali istihizai zenu walimwengu
sitodhalilika nikauza utu wangu

Natangaza hadharani nimekinai
Nimekinai umaskini wangu
Naapa sitodhalilika nikauza utu wangu

Japo mimi maskiniiii
Kwani lipi la ajabu
Nimeumbwa nimeumbwa
Hakuna mtimilifu sote ni waja wa mungu

Yake mola mtihaniii
Ntapasi naamini
Siinyongi roho yangu
Inshaallah mola muweza atanipa langu fungu.

Umaskini haunidhuru,wala haunipi joto!!

Kama namuona bi mkubwa na wigi lake!! Kuna waliojaaliwa sauti bwana
 
Last edited by a moderator:
Ulipotoka kwenu nyambizi, sisi tulikupokea wewe, na vibahasha vya hirizi, shingoni umevivaa. Ukafundishwa vivazi wewe na kitanda ukapewa wewe, wajifanya siku hizi, wajifanya unajuaaa. Mdomo umeuchonga wajifanya unajua by khadija kopa

Achia ngazi bibi mchuma unaondoka huo, achia ngazi bibi mchuma unaondoka huo. Umeshachelewa naondoka naye umeshaishiwa nina dunda naye. Kipi cha kung'ang'ania hakutaki ebu timu, mtu mzima hovyo unajieshua mtu mzima hovyo unajieshua

Huna lolole hutonibabaisha, nenda usojijua, huna lolote hutonishughulisha nenda usojijua. Huna sura huna mwili vimekutoka vibavu, utavaaje kimini na usafiri mbovuuuu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ulipotoka kwenu
bwigiri, sisi tulikupokea wewe, na vibahasha vya hirizi, shingoni
umevivaa. Ukafundishwa vivazi wewe na kitanda ukapewa wewe, wajifanya
siku hizi, wajifanya unajuaaa. Mdomo umeuchonga wajifanya unajua by
khadija kopa

Achia ngazi bibi mchuma unaondoka huo, achia ngazi bibi mchuma unaondoka
huo. Umeshachelewa naondoka naye umeshaishiwa nina dunda naye. Kipi cha
kung'ang'ania hakutaki ebu timu, mtu mzima hovyo unajieshua mtu mzima
hovyo unajieshua

Huna lolole hutonibabaisha, nenda usojijua, huna lolote
hutonishughulisha nenda usojijua. Huna sura huna mwili vimekutoka
vibavu, utavaaje kimini na usafiri mbovuuuu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Dah! Long time.
Thanks.
 
"Aaaa Mungu kanipa kauli nzuri niongee na watu kwanini wasinipendeeeee"

Msiniite mswahili japo mie mtanzania nazungumza kiswahili na kiswahili asili yangu. Wanajamii taarabu zinamafunzo kweli kweli na huwa hazichoshi kusikiliza. Mfano huyu mdada Leyla Rashidi verse zake zimeenda shule sana.

"Kizingiti cha manani ni mtihani kwa mja, hata uwe mashakani usisite kumtaja"

"Kauli ya molaaaaaaa silaha nzitoooo alipangalo ndilo litakuwaaaa"

Leyla Rashid & Jahazi Modern Taarab - Fungu La Mungu Sikosi - YouTube.


Hivi mnikumbushe na ule wa marupe rupe ndio unasemaje vile?

CC

Wapenzi wenzangu wa nyimbo za mwambao

Huku kwetu wala hazifiki, wapo kina Marijan, Mbaraka Mwishe..., chidumule enzi hzo, mpoto, mpoki, fm academia, twanga pepeta. nikija pwani utani huu... sana!
 
Alokupa kiti wewe cha kukalia,kumbi akanipa mimi
Ni Mungu si mwenginewe usijitie tafrani,na kunitoa thamani
Kwa vipi unibeue mara juu mara chini,humkumbuki manani
Chuki ziondoe kwangu yatizame yalo yako

Sabah Salum Muchacho

Aahahhaha wacha niendelee na ya mwahawa ally...
Japo mimi masikiniiiii
Katu sijiweki nyuma
Sababu naziamini
Rehema zake karima

Ipo siku ntawini
Mtanyamaza kusema
Ntamegewa na mimi
Zilizo njema rehema

Kwakua maajaaliwa yake rabana
Yake rabana siweki fundo moyoni
Yeye ndie anaetoa humoa amtakae
Wala hajamuonea yule mja akosae
Hana hiyama manani
Napaa sitokufuru nikakesha ugangani

Nipatacho nashukuruuuu
Ndio riziki yangu ilopangwa ardhini
Kanifariji afuru saada na suudi zake

Umaskini haunidhuru wala haunipi joto
Roho tanda nimepoa
Kwa kipi nidhalilike
 
Aahahhaha wacha niendelee na ya mwahawa ally...
Japo mimi masikiniiiii
Katu sijiweki nyuma
Sababu naziamini
Rehema zake karima

Ipo siku ntawini
Mtanyamaza kusema
Ntamegewa na mimi
Zilizo njema rehema

Kwakua maajaaliwa yake rabana
Yake rabana siweki fundo moyoni
Yeye ndie anaetoa humoa amtakae
Wala hajamuonea yule mja akosae
Hana hiyama manani
Napaa sitokufuru nikakesha ugangani

Nipatacho nashukuruuuu
Ndio riziki yangu ilopangwa ardhini
Kanifariji afuru saada na suudi zake

Umaskini haunidhuru wala haunipi joto
Roho tanda nimepoa
Kwa kipi nidhalilike

Wewe bongo star search inakuhusu sana, naamini sautiyo ipo mulemule.
 
Aahahhaha wacha niendelee na ya mwahawa ally...
Japo mimi masikiniiiii
Katu sijiweki nyuma
Sababu naziamini
Rehema zake karima

Ipo siku ntawini
Mtanyamaza kusema
Ntamegewa na mimi
Zilizo njema rehema

Kwakua maajaaliwa yake rabana
Yake rabana siweki fundo moyoni
Yeye ndie anaetoa humoa amtakae
Wala hajamuonea yule mja akosae
Hana hiyama manani
Napaa sitokufuru nikakesha ugangani

Nipatacho nashukuruuuu
Ndio riziki yangu ilopangwa ardhini
Kanifariji afuru saada na suudi zake

Umaskini haunidhuru wala haunipi joto
Roho tanda nimepoa
Kwa kipi nidhalilike

Maashaallah!!

Kilo changu hakikai,najinyima nawapa nyie
Mie mbaya leo hii,wema mmekua nyie
Nashukuru Alhamdulillah,Mungu awazidishie
Awape mema maslahi,shida msizisikie

Ng'ombe wa maskini
 
Seleleaaaa...
Cheza na mimi mpenzi...cheza nami kwa henezi mambo mazuri ya habibi ndo hayataki haraka!!
 
Back
Top Bottom