Aliyepo Dodoma anipm achen uchoyo nimenunua suruali mpya ila holaaaa mpaka saivi.
Sijafunga pm karibuni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hujafika kwa Hazard
We njoo wacha woga..Mmmmmh!!
Kwani anataka kubisha?Mbona nimeambiwa ndio wewe?
cute b ndio kaniambia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jaman wananisingizia mm ningeshapost location.
Duuh. Nimelala tangu asubuhi.Hazard kasema wewe ndo mgeni mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23]Duuh. Nimelala tangu asubuhi.
Shahidi ni kitanda[emoji23][emoji23]
Unajua mdogo wako pombe sigusi.Kumbe ni cute b [emoji134][emoji134][emoji134]
Mbona sasa alikuwa anatuzuga?
Naona ni half time[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna auntieNini sasa?
Nimeona bora nibadirishe sio Kila sikukuu kula mapochopocho,Mkuu sikukuu yote hii[emoji134][emoji134]