Acheni uchoyo jamani!!!!!

Hii sikukuu imeangukia kwenye siku nzuri kwangu ila cha kushangaza sina mwaliko hata mmoja daah
Imefanya w.end ikawa ndefu, halafu ikawa ndefu kweli[emoji134][emoji134]
 
Nimeona bora nibadirishe sio Kila sikukuu kula mapochopocho,
Nimealika wengi ila baada ya kuweka sinia ya ugali nikajikuta Niko peke yangu, ila umebaki mwingi tu[emoji16][emoji16][emoji16]
Aaah!! Yaani ualike watu halafu uweke ugali?
 
Sikukuu tunakaa na familia zetu, michepuko subirini siku za kazi mida ya jioni hadi usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…