Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah!! Yaani ualike watu halafu uweke ugali?Nimeona bora nibadirishe sio Kila sikukuu kula mapochopocho,
Nimealika wengi ila baada ya kuweka sinia ya ugali nikajikuta Niko peke yangu, ila umebaki mwingi tu[emoji16][emoji16][emoji16]
Mi nilijialika nikaona isiwe tabu
Wanakwama somaliaaa
Hata kunialika jamani[emoji134][emoji134][emoji134]
Tulia hapo hapo.Kweli hali mbaya..ndugu zetu waislam mnakwama wap
Hivi leo ni sikukuu kweli?
Nimeandaa njaa tangu jana nikijua leo nitapata mialiko ya kutosha nichague tu pa kwenda kujaza tumbo. Ila sasa tangu asubuhi naichunga simu kama nachemsha maziwa vile, nikitegemea itaingia call au text ya mwaliko ila holaaa!!
Ndio kusema vyuma vimekaza kiasi hicho jamani[emoji24][emoji24][emoji24] tusifanyiane hivyo tafadhali. Hapa nina njaa na hela yote halafu hata mkaa sina, kuingia jf nakuta kina hazard cfc wameandaa mapochopocho halafu wamealikana wenyewe huko sisi twala kwa picha(kanizidishia tu njaa yangu[emoji57][emoji57])
Sasa wapendwa hii siku bado mbichi tuu, hebu fanyeni kama mnajikuna basi turahisishiane sikukuu. Raha ya sikukuu ule na wenzio jamani.
Haya napokea mialiko.
Muwe na sikukuu njema.
Imefanya w.end ikawa ndefu, halafu ikawa ndefu kweli[emoji134][emoji134]
mbabu sijategemea ata ww hujanialikaTulia hapo hapo.View attachment 1179425
Hata msg ya tigo umekosa?Yani Mimi hata simu ya heri ya sikukuu sijapata.
Mbinguni utaishia kupazoom tu.Tulia hapo hapo.View attachment 1179425
Simu yako ilikuwa haipatikani mbibi..mbabu sijategemea ata ww hujanialika
Sasa niende mbinguni hivi vitu nitamuachia nani[emoji3][emoji3]Mbinguni utaishia kupazoom tu.
Unavaaga suruali wewe?? [emoji16] [emoji16]Aliyepo Dodoma anipm achen uchoyo nimenunua suruali mpya ila holaaaa mpaka saivi.
Sijafunga pm karibuni.
Kesho kutwa mnadani.Aliyepo Dodoma anipm achen uchoyo nimenunua suruali mpya ila holaaaa mpaka saivi.
Sijafunga pm karibuni.