samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,965
Tusiongopeane bhana, yaani kabisa umevaa kisketi kifupiiiiii hadi tight ya ndani inaonekana kuwa ni nyeupe na ramani ya chupi ileeeeeeeeee kama haitoshi umevaa na ki blauzi chako mwenyewe kinachoonyesha matiti yako kisha uniambie eti oooh usim jaji mtu kwa mavazi yake, hivi ni kweli kabisa au mnatania ........ Basi sawa wewe unajiheshimu je kilichokufanya utuvalie hivi ni kitu gani ???
Kuna hiki nacho cha kiume kimeshapiga kiduku chake kama cha Balotel, kisha katuachia makalio nje kiasi anatuonyesha li boxer lake jeupe hadi linataka kuwa rangi nyeusi kiasi kwamba anafanya kazi ya kuipandisha suruali kama vile mikanda imepigwa marufuku kuvaliwa lakini ukiuliza ooooh usim jaji mtu kwa kumuangalia kweli kabisa ???
Nasema hivi HESHIMA NI YA MUDA WOTE SIO KWA SABABU HATUKUJUI NDIO HUTUVALIE HIVI AU ETI LEO NDIO UNAENDA KUABUDU NDIO HUJISTIRI.
WEWE UNASEMAJE MDAU,TIRIRIKA.