Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matiti yamechoka hadi kinyaa. Sijui kutumika sana? Kwa nini usijisitiri?Hawa vipi, si ndio mashetani kabisa au??!!
![]()
Niliogopa kusema hawavai hiyo kitu.Bwana Samsun umenifanya ni-zoom in mpaka maximum lakini sijaona kufuli la rangi uliyotaja au nyingine! Wewe umefanyaje mpaka umeona? Halafu yawezekana heshima yao ni ya msimu kama weather au seaons zilivyo.
![]()
Sipati picha kama ndio kijana amekutuma kupeleka posa na ndio amekufa na kuoza kwa mmoja wa hao vimwana. Ukimkataza ndio kama umemchochea, ukimsema yanaingilia sikio la kuume yanatokea puani. Mkimweka kikaangoni anawatazama kama hawaoni. Usiombe yamkute mwanao!Tusiongopeane bhana, yaani kabisa umevaa kisketi kifupiiiiii hadi tight ya ndani inaonekana kuwa ni nyeupe na ramani ya chupi ileeeeeeeeee kama haitoshi umevaa na ki blauzi chako mwenyewe kinachoonyesha matiti yako kisha uniambie eti oooh usim jaji mtu kwa mavazi yake, hivi ni kweli kabisa au mnatania ........ Basi sawa wewe unajiheshimu je kilichokufanya utuvalie hivi ni kitu gani ???
![]()
Kuna hiki nacho cha kiume kimeshapiga kiduku chake kama cha Balotel, kisha katuachia makalio nje kiasi anatuonyesha li boxer lake jeupe hadi linataka kuwa rangi nyeusi kiasi kwamba anafanya kazi ya kuipandisha suruali kama vile mikanda imepigwa marufuku kuvaliwa lakini ukiuliza ooooh usim jaji mtu kwa kumuangalia kweli kabisa ???
Nasema hivi HESHIMA NI YA MUDA WOTE SIO KWA SABABU HATUKUJUI NDIO HUTUVALIE HIVI AU ETI LEO NDIO UNAENDA KUABUDU NDIO HUJISTIRI.
WEWE UNASEMAJE MDAU,TIRIRIKA.
Rejea post yangu utajua nimeuliza niniRejea kichwa cha habari na habari yenyewe nilivyoiandika,utaelewa nazungumzia nini.
Rejea post yangu utajua nimeuliza nini
Mara nyingi unakuta anayataka yale anayofanyiwa chumbani yasimpite.Sipati picha kama ndio kijana amekutuma kupeleka posa na ndio amekufa na kuoza kwa mmoja wa hao vimwana. Ukimkataza ndio kama umemchochea, ukimsema yanaingilia sikio la kuume yanatokea puani. Mkimweka kikaangoni anawatazama kama hawaoni. Usiombe yamkute mwanao!
Ndo mpango mzima. Haiwezekani ukawa hujavaa nguo safi na hujachana nywele, kisha tuseme wewe ni mstaarabu, NO WAY. Mwonekano wako ndio kipimo chetu cha kwanzaHahahahaaa mkuuu Heshima ni nn? Kwa uelewa wangu naamin heshima inaanza na mwonekano wa nje (super structure) ko kama mtu akiwa hivyo hata heshma ipo
Don't judge a book for corverTusiongopeane bhana, yaani kabisa umevaa kisketi kifupiiiiii hadi tight ya ndani inaonekana kuwa ni nyeupe na ramani ya chupi ileeeeeeeeee kama haitoshi umevaa na ki blauzi chako mwenyewe kinachoonyesha matiti yako kisha uniambie eti oooh usim jaji mtu kwa mavazi yake, hivi ni kweli kabisa au mnatania ........ Basi sawa wewe unajiheshimu je kilichokufanya utuvalie hivi ni kitu gani ???
![]()
Kuna hiki nacho cha kiume kimeshapiga kiduku chake kama cha Balotel, kisha katuachia makalio nje kiasi anatuonyesha li boxer lake jeupe hadi linataka kuwa rangi nyeusi kiasi kwamba anafanya kazi ya kuipandisha suruali kama vile mikanda imepigwa marufuku kuvaliwa lakini ukiuliza ooooh usim jaji mtu kwa kumuangalia kweli kabisa ???
Nasema hivi HESHIMA NI YA MUDA WOTE SIO KWA SABABU HATUKUJUI NDIO HUTUVALIE HIVI AU ETI LEO NDIO UNAENDA KUABUDU NDIO HUJISTIRI.
WEWE UNASEMAJE MDAU,TIRIRIKA.
Kwa uzoefu wangu wa maisha, kukaa kwangu na wazee na vijana, wema kwa waovu... Siwezi kubet muonekano hata mtu aje uchi wa nyama.Nazungumzia mtu unayemuona kwa mara ya kwanza na muonekeno huo niliouzungumzia,mfano barabarani,ofisini na n.k.
Una bet nini kwa wadada waliovaa hivi ????Kwa uzoefu wangu wa maisha, kukaa kwangu na wazee na vijana, wema kwa waovu... Siwezi kubet muonekano hata mtu aje uchi wa nyama.
Na umesema Mara ya Kwanza, love at first sight or judging at the first sight?
By the way, akina dada wamependeza.
Hawa wanakuwa na maufundi yanamauwezo ya kuwatia wehu au uwendawazimu vijana, usiombe wamkaribie kijana!Mara nyingi unakuta anayataka yale anayofanyiwa chumbani yasimpite.
Vijana wanaounga sera ya cameroun hao.Daah, siku moja niko benki kwenye mstari kwenda kwa teller, jamaa aliyekuwa mbele yangu akaenda, kufika pale kainama huku kapiga mlege chupi nje kama jamaa huyu juu kwenye picha; aiseee nikaona wanawake niliokuwa nao kwenye mstari kila mmoja anamwaangalia jamaa alivyotia fora na kisha kunitupia jicho mimi maana nilikuwa mwanaume pekee huko mbele-ilinilazimu nichukue simu yangu na kujifanya niko bize kana kwamba sijamuona yule msela mav*
Wangekuwa wanaume ndio wameweka maungo nje kwa kiwango hicho ingekuwa tatizo?Una bet nini kwa wadada waliovaa hivi ????
![]()
Lakini kwa hawa hapa wa chini ndio ukisema huwezi ku bet sawa.
![]()