samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,965
- Thread starter
- #61
Kwangu mimi mtu yeyote akivaa hivo sehemu zisizo stahiri hajieshimu tu hata awe nani. Udogo wa dunia haufanyi mwanamme au mwanamke wa TZ atembee na kanguo kafupi titi nje kisha aonekane yuko sawa,ni lazima tutamtilia shaka na akili zake.Wangekuwa wanaume ndio wameweka maungo nje kwa kiwango hicho ingekuwa tatizo?
Dunia ndogo hii, ina aina elfu mia za watu tofauti na jamii yako iliyokufunza kuwa uchi ni kufuru.
Liweke akilini hilo..