Acheni uongo, huwezi kuvaa hivi kisha uniambie una heshima

Mbona umeweka picha ya watu wanaonekana wapo kwenye event? Au hapo ni kwako mkuu walikuja kama wanavyoonekana wakakukera?
Nimejaribu kukuwekea picha ya kitu ninachokizungumzia.
 
nauelewa sana msemo moja wa ki inglish unasema ''clothes reveal a person''..
 
Hivi wezi wa Mali za umma, wanaoua watu kutokana na visasi n.k huwa wanavaaje?
Rejea kichwa cha habari na habari yenyewe nilivyoiandika,utaelewa nazungumzia nini.
 
Bwana Samsun umenifanya ni-zoom in mpaka maximum lakini sijaona kufuli la rangi uliyotaja au nyingine! Wewe umefanyaje mpaka umeona? Halafu yawezekana heshima yao ni ya msimu kama weather au seaons zilivyo.

Niliogopa kusema hawavai hiyo kitu.
 
Sipati picha kama ndio kijana amekutuma kupeleka posa na ndio amekufa na kuoza kwa mmoja wa hao vimwana. Ukimkataza ndio kama umemchochea, ukimsema yanaingilia sikio la kuume yanatokea puani. Mkimweka kikaangoni anawatazama kama hawaoni. Usiombe yamkute mwanao!
 
Rejea post yangu utajua nimeuliza nini

Mara nyingi unakuta anayataka yale anayofanyiwa chumbani yasimpite.
 
Hahahahaaa mkuuu Heshima ni nn? Kwa uelewa wangu naamin heshima inaanza na mwonekano wa nje (super structure) ko kama mtu akiwa hivyo hata heshma ipo
Ndo mpango mzima. Haiwezekani ukawa hujavaa nguo safi na hujachana nywele, kisha tuseme wewe ni mstaarabu, NO WAY. Mwonekano wako ndio kipimo chetu cha kwanza
 
Don't judge a book for corver
 
Nazungumzia mtu unayemuona kwa mara ya kwanza na muonekeno huo niliouzungumzia,mfano barabarani,ofisini na n.k.
Kwa uzoefu wangu wa maisha, kukaa kwangu na wazee na vijana, wema kwa waovu... Siwezi kubet muonekano hata mtu aje uchi wa nyama.
Na umesema Mara ya Kwanza, love at first sight or judging at the first sight?
By the way, akina dada wamependeza.
 
Kwa uzoefu wangu wa maisha, kukaa kwangu na wazee na vijana, wema kwa waovu... Siwezi kubet muonekano hata mtu aje uchi wa nyama.
Na umesema Mara ya Kwanza, love at first sight or judging at the first sight?
By the way, akina dada wamependeza.
Una bet nini kwa wadada waliovaa hivi ????


Lakini kwa hawa hapa wa chini ndio ukisema huwezi ku bet sawa.

 
Vijana wanaounga sera ya cameroun hao.
 
Una bet nini kwa wadada waliovaa hivi ????


Lakini kwa hawa hapa wa chini ndio ukisema huwezi ku bet sawa.

Wangekuwa wanaume ndio wameweka maungo nje kwa kiwango hicho ingekuwa tatizo?
Dunia ndogo hii, ina aina elfu mia za watu tofauti na jamii yako iliyokufunza kuwa uchi ni kufuru.
Liweke akilini hilo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…