Acheni uongo, huwezi kuvaa hivi kisha uniambie una heshima

Wangekuwa wanaume ndio wameweka maungo nje kwa kiwango hicho ingekuwa tatizo?
Dunia ndogo hii, ina aina elfu mia za watu tofauti na jamii yako iliyokufunza kuwa uchi ni kufuru.
Liweke akilini hilo..
Kwangu mimi mtu yeyote akivaa hivo sehemu zisizo stahiri hajieshimu tu hata awe nani. Udogo wa dunia haufanyi mwanamme au mwanamke wa TZ atembee na kanguo kafupi titi nje kisha aonekane yuko sawa,ni lazima tutamtilia shaka na akili zake.
 
Ni kweli,lakini hiyo ni kwa wewe unayemjua (nazungumzia mtu anayemuona kwa mara ya kwanza) lakini huku barabarani ukikutana na aliyejistiri na aliyejiachia yupi utakayemuona ni wa hovyo ????
Hapo hakuna wa hovyo Kila mtu atakuwa ameamua namna ya kuishi
 
Hapo hakuna wa hovyo Kila mtu atakuwa ameamua namna ya kuishi
Kama ni kuchagua namna ya kuishi, hata vibaka na majambawazi ni maisha waliyoamua kuishi ila tunaita ni wa hovyo kwavile si ustaarabu katika jamii.
 
Yeah we keepers actually think out of the Box ndio maana tunaoa wale wasioenda na Fashion, Environment, weathering issues.. wew Fuata hzo unaita bla blah blah, Na ukisubiri Mume mwema
Akii subiri Mfalme Suleiman arudi labda atahitaj Binti za sayuni elf 2 na wew unaweza kuwepo.. [emoji23]
 
Nimependa mtazamo wako mtoa mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…