Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hatari snChawa kindakindaki hana tofauti na mbuni kindakindaki, au nasema uongo ndugu zangu!
Unadhani Mwigulu aliamua hilo la tozo peke yake ?View attachment 2362615
Dr. Mwigulu Lameck Nchemba PhD, Kamanda wa TOZO. Kwamba bado yuko ofisini akiendeleza hujuma dhidi ya wananchi ni swala linalofikirisha sana.
Aisee..Kwani tuna wabunge? Mbunge anatakiwa awe si mwakilishi tu bali mtetezi wa mwananchi. Kwa bahati mbaya tunalo Bunge linalopitisha sheria kandamizi ya kodi lakini wanahakikisha wao hawalipi kodi hizo.
Badala yake wanajilipa mamilioni kama posho kwa kutimiza wajibu wao bungeni na hiyo ni nje ya mishahara yao minono isiyolipiwa kodi. Ni hawa hawa Mwigulu aliwatumia kupitisha zoezi lake la wizi hivyo wote ni wezi.