Acheni upotoshaji kuhusu ranking za CAF

Acheni upotoshaji kuhusu ranking za CAF

Hiyo assumption ingemake sense kama timu zote zingekuwa zinapata point sawa kama zinakuwa za mwisho. Ni uharaka tu ili watu wapate cha kusema na kutafuta furaha za muda mfupi.
Kupata point sawa kama ikiwa ya mwisho una maana ipi labda?
Au unafikiri Yanga ikiwa ya mwisho kwenye kundi lake itapata point tofauti au hujui hata hizo point zinatafutwa vipi?
Kwenye mashindano ya cafcl point zinatafutwa kwa mfumo huu..
Timu inayoongoza kundi inapata point 5 ambayo inazidishwa na 4 yani 4×5=20,timu inayomaliza nafasi ya pili inapata point 5 ambayo nayo inazidishwa na 3 yani 3×5=15,timu inayomaliza nafasi ya tatu inapata point 5 nayo inazidishwa na 2 yani 2×5=10,na timu inayomaliza ya mwisho kwenye kundi inapata point 5 nayo inazidishwa na 1 yani 1×5=5..
Na kwenye mashindano ya cafcc point utafutwa kwa mfumo huu..
1st kwenye kundi inapata point 5 na kuzidishwa na 3 yani 3×5=15,2rd timu kwenye kundi inapata point 5 inazidishwa na 2 yani 2×5=10,3rd timu inapata point 5 inazidishwa na 1 yani 1×5=5 na 4th timu kwenye kundi inapata point 5 inazidishwa na 0.5 yani 0.5×5=2.5..
Sasa kwasasa Yanga ina point jumla 24 na simba ina point jumla 28 na tayari Yanga kashaingia makundi ya Cafcl so wana Yanga wamepiga mahesabu rahisi kwamba Yanga kwasasa ina point 29 kwa kujikweka mkiani kwenye kundi watakalopangiwa haya ni mahesabu ya chini kabisa sasa unataka waizungumzie simba ambayo bado haijafuzu kwenye hayo makundi ya Cafcc..
 
Mkuu, unampigia guitar mbuzi,unafikiri ataCheza
Mimi huyu bwana tangu alipoleta habari kua Simba ndio timu ya kwanza kuanzia ugenini dhidi ya waarabu wakati Azam alishafanya hivyo kabla,nikaona hamna ajualo zaidi ya ushabiki maandazi
Mkuu adriz alisema kua mashabiki wa Simba wanaongoza Kwa kuleta mada za hovyo, na kweli nimethinitisha.
 
Ni kweli jamaa hua anajifanya kujua sana na wajinga wenzie hapo juu hua wanamuona wa maana sana kumbe hajui lolote ni kupotosha tu..
Sasa anaposema et timu kwan zinapata point sawa sijui anakua na maana ipi?
Au anafikiri Mamelody akiburuza mkia kwenye kundi lake ndio atapata point tofauti na Yanga kama ikitokea ataburuza mkia kwenye kundi?
Jamaa hua ni zuzu anaejifanya kujua..
 
Akili kubwa tu ndiyo inaweza kuelewa hoja zangu. Viande kama nyie mtabaki tu kusonya na kuchanganyikiwa. Nyie mpo upili halafu mnapewa hesabu za calculus, kwa nini msione mazingaombwe?

Endeleeni kusumbuliwa na homa za vipindi maana ndiyo maumivu mnayoyapenda.
 
Wewe ni zuzu kwenye darasa la mbumbumbu wenzio wanakuona professor kwa hoja mfu..
 
Hakuna cha muda wewe acha kupotosha mbumbumbu wenzio..
Tuna kazi ya kufanya leo, usinichanganye. Bahati mbaya wengine hatuna nyota ya kupangiwa vibonde. Tuache tulimalize jambo letu, nitakurudia mkuu. Nakuahidi hilo. Nikimalizana na wewe hautakuwa na nguvu tena ya kuongelea mada kama hizi.
 
Back
Top Bottom