Acheni Ushamba, Hakuna gari za kike wala za kiume

Siwezi kuendesha ist, au vitz kutokana na urefu wangu futi 6.5 ngoko cz zinagusa mpka kwenye kioo kichwa kinagusa juu ya bodi... Mke wng chukua rav 4, mimi vx naendesha na relax vzr..... Vigari vingine kwa mwanaume ni dharau tu
 
Leo mzushi alikuja na mada ya wasio na kazi wahame dar. Sasa umekuja ww wiseboy na hii mada.....duuuuu leo...
 
Last edited by a moderator:
Utatembeleaje passo bwana kitu volkswagen golf au rav 4 3 doors model
 
Jamaa alichungulia chini ya gari Jiefong ya mchina akaona dif kubwa. Alipoinuka akasema duh kumbe ndume hii!
 

Ni za kike ila hukatazwi kuendeshwa ni kama leo hii dume uvae nguo au viatu vya kike hata kama havikuandikwa vya kike lkn wanaume tutakuona hauko sawa!!...we dunda tu na vitz yako huna haja ya kupanik!! Besides, hiyo vitz yako si inakupeleka hom na kazini kwa wakati??
 
Siwezi kuendesha ist, au vitz kutokana na urefu wangu futi 6.5 ngoko cz zinagusa mpka kwenye kioo kichwa kinagusa juu ya bodi... Mke wng chukua rav 4, mimi vx naendesha na relax vzr..... Vigari vingine kwa mwanaume ni dharau tu

hata bajaj inaonekana hauna
 
Pole sana acha tu zakike zipo mpaka za wanafunzi hako ka vitz mpe mkeo au kahonge kwa mchepuko
 

Mkuu Vitz yako ni C au D?
 
Kiuhalisia hakuna gari ya kike wala ya kiume...lakini kimuonekano inaleta heshima kwa mwanaume kutulia ndani ya Land Cruiser au Range Rover kuliko mwanaume wa miraba minne kujificha ndani ya vitz au spacio....ambapo kimuonekano zinawapendeza sana wakiendesha wadada...
 
mbona pikipiki na baiskeli za kike hamna.?ni magari tu,ushamba ma hali ya juu
 

Kama wanawake wanazipenda tunaziitaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…