NANDERA hebu tuwe na mjadala mpana katika hili, huhitaji kuwa na sononi na tena si tusi kuitwa mwanamke, hiyo ni sifaMungu asingeumba mwanamke na shock absorber za ziada wanawake wengi sana tungeugua sononi. Yaani kuwa mwanamke tu ni tusi. Nimeskia hapa pia hakuna magari ya kike wala ya kiume ilimradi kama umetoa hela kununua. Yale yanayogawiwa bure ndo ya kike! loh!
Hahahaaaa mkuu..kama umepaniki hivi,hela yako ulidunduliza kwa miaka mingapi? ili ununue hiyo vitz
Sasa gari inaitwa "Nadia" wewe huoni kuwa hiyo ni ya....
Kwa mtazamo wangu binafsi:
Lincoln/Buick = Retireees or pensioners
Suzuki = Folks with bad credit.
Kia = Unsuccessful young college graduates still chasing the dream
Bmw = young guys with good careers
Mercedes = professionals with advancing careers.
Hammer = hustlers, dope sellers
Hondas = folks with regular jobs
Toyotas = same as Hondas
Porsche = stock traders, brokers, analysts, living the dream
Lexus = ladies with good or 6 figures career mostly
Acura = folks with fairly good careers
Vw-Beetle = ladies, milf
Fiat 500 = young ladies
Mini minor = ladies
Mitsubishi = folks with mediocre jobs
Nissan = folks with ok jobs
Magnum = hustlers mostly from the hood/niggaz n bitches
Subaru = nerds esp college lecturers, intellectuals etc
Gmc, Yukon = suburban folks, soccer moms
Ford = folks with ok but not so successful careers
Cadillacs = fairly successful folks
Maserati/Feraris/Bugatti = pro athletes, high rollers, rich folks etc living the dream
Range Rover = high rollers
Hyundai = folks with mediocre careers
Bentleys = high rollers mostly from Hollywood
Sasa gari inaitwa "Nadia" wewe huoni kuwa hiyo ni ya....
Khaa! Vipi kiongozi, washakuvuruga nini? naona povu jingi sana
Nahisi kama vile unaishi na dadako mwenye hiyo gari tena mbaya zaidi ends ikawa kahongwa au unavaa shanga mbona unatete sana akinadada au ndo unatumwaga nalo kuchukua nguo za bwashe dry cleaner wakati ametoka kupigwa ngabu dadako?gari zimetengenezwa kwa ajili ya kupunguza garama kwa wanaume wahongaji tusipate hasara kubwa ila gari za kiume zinajulikana
Sasa gari inaitwa "Nadia" wewe huoni kuwa hiyo ni ya....
Khaa!! Acha hayo ya Vitz, Miye napanda daladala kwa miaka 20 sasa, tena haizidi hata tshs 20,000/= kwa mwezi lakini cha ajabu sina hata kiwanja. Sijui kiongozi mahesabu hayo umeyatoa wapi? :glasses-nerdy:Gari unazingatia bajeti yako, eg monthly take tsh 780,000 unaendesha prado kwenda kazini na kurudi km 30km. Then cost of fuel per month is tsh 350,000(approx 50percent of your salary).
kwa vitz ni tsh 120,000. So ukisavu hiyo dufference for 15 years unanunua kiwanja na kujenga msingi.
Hukujiuliza ni kwanini?? London ni mjini na watu wanaoendesha hayo magari 4x4 wengi wanatoka outskirts of London..lakini mtu anaeishi hapo hapo greater London gari kubwa la nini??barabara nzuri , public transport bwelele sasa expenses za mafuta za nini??Mwaka 2008 nilienda UK nilikaa wiki mbili, kati ya mambo niliyoyategemea kule ni kukuta magari ya maana njiani mfano VX, Range rover, GX n.k. Chakushangaza London imejaa gari ndogo ambazo huku mnaziita Baby walker hata ukienda nje ya London kama East Greanstead na Brighton hali ni ile ile
Hapana wiseboy, labda hili jambo la magari ya kike na kiume tuliweke hivi:Kwa muda mrefu sasa nimekuwa naona mada humu JF zikiwa zinaponda magari,kwamba magari kama Toyota Passo,Vitz,IST,Starlet,na n.k ni magari ya kike.
Naomba wote wanaoamini kuwa kuna magari ya kike watoe ushahidi,ni wapi ambako chombo cha moto kimeandikwa kuwa:
A Vehicle Special for female au for male?
Acheni Ushamba nyie watanzania ambao hamjui lolote ktk Dunia hii yenye mambo mengi na mazito.
Tanzania isiyotengeneza hata sindano eti wananchi wake wanadharau magari yanayotengenezwa nje na kuya Classify kuwa hili ni la kike na lile ni la kiume,huu ni ujuha wa hali ya juu.
Watanzania ambao hata kula yao ni shida kwa siku eti nao wanabagua magari,kwa lipi?
Ukienda,Japan,US,UK,Germany,Sweden na popote duniani ambako wanatengeneza magari,hawawezi kukuambia kuwa hili ni gari la kile na lile ni la kiume.
Siku zote maskini ni mtu anayejiona ni bora kuliko wote japokuwa hana lolote,Sasa wewe umehangaika ukapata vipesa vyako unanunua gari anakuja mjinga anakuambia ni la kike,wapi imeandikwa kuwa ni la kike,Ujinga uliokithiri.
NANDERA hebu tuwe na mjadala mpana katika hili, huhitaji kuwa na sononi na tena si tusi kuitwa mwanamke, hiyo ni sifa
Kiasili mwanamke ni zao la mwanaume japo hugeuka na kuwa mwanamke ndio anakuja kumzaa huyo mwanaume
Hebu tuweke pembeni haya mambo ya usawa wa kijinsia ambayo ni mambo tu ya kubuni kutokana na wakati tulip nao duniani, kuna clear demarcation kwenye vitu vingi kuwa directed na jinsia zetu
-kuna nguo za kike
-mapambo ya kike
-vyakula vya kike
-kazi za kike
-mambo ya kike
-rangi za kike
-mwonekano wa kike nk nk
List ni ndefu na katika hivyo vyote kuna kinyume chake! Sasa linapokuja swala la hivi vyombo vya moto hill halikwepeki kabisa, kwakuwa automatically kuna magari hata kwa kuyaangalia tu unaona kabisa hili halimfai mwanaume
Kwahiyo kuna wakati inaweza kuonekana ni dharau lakini kuna uhalisia katika hili, nimetoa mfano kwenye post moja hapo juu haifai mwanaume kununua gari la kutumia mwenyewe lenye rangi ya pink, inaleta ukakasi kwa mwanaume hata kuvaa nguo za rangi hii kwakuwa pink imeshazoeleka kama rangi ya kike
View attachment 250322
Mweee we kula ice cream tu na vumbi la bongo, ungejua nifanyacho na niliko usingethubutu kuandika huu uharo
Watu hawajui maisha ila ukitembea unajifunza mambo mengi sana, ni nadra sana kukuta Hammer au hayo ma VX au V8 katikati ya jiji la LondonHukujiuliza ni kwanini?? London ni mjini na watu wanaoendesha hayo magari 4x4 wengi wanatoka ouotskirts of London..lakini mtu anaeishi hapo hapo greater London gari kubwa la nini??barabara nzuri , public transport bwelele sasa expenses za mafuta za nini??
wabongo wengi wanaishi maisha fake sio ya uhalisia ndo maana wanashadadia vitu visivyo na tija...wanaiga tu kwa kuangalia kwa Tv ..Wakiona wachezaji wa mpira wanaendesha ma Range rover basi wanafikiri ndo maisha ya wote ni hivyo...hao wachezaji wenyewe wanaishi kwenye outskirts of London na ndio maana wanaendesha hayo ma range. na ulaya magari ya 4x4 mengi ni yanaendeshwa na wanawake, wanaume ukiwa na pesa yako unakamata sports car au salon car thats it.