Acheni Ushamba, Hakuna gari za kike wala za kiume

Acheni Ushamba, Hakuna gari za kike wala za kiume

Mungu asingeumba mwanamke na shock absorber za ziada wanawake wengi sana tungeugua sononi. Yaani kuwa mwanamke tu ni tusi. Nimeskia hapa pia hakuna magari ya kike wala ya kiume ilimradi kama umetoa hela kununua. Yale yanayogawiwa bure ndo ya kike! loh!
NANDERA hebu tuwe na mjadala mpana katika hili, huhitaji kuwa na sononi na tena si tusi kuitwa mwanamke, hiyo ni sifa
Kiasili mwanamke ni zao la mwanaume japo hugeuka na kuwa mwanamke ndio anakuja kumzaa huyo mwanaume
Hebu tuweke pembeni haya mambo ya usawa wa kijinsia ambayo ni mambo tu ya kubuni kutokana na wakati tulip nao duniani, kuna clear demarcation kwenye vitu vingi kuwa directed na jinsia zetu
-kuna nguo za kike
-mapambo ya kike
-vyakula vya kike
-kazi za kike
-mambo ya kike
-rangi za kike
-mwonekano wa kike nk nk

List ni ndefu na katika hivyo vyote kuna kinyume chake! Sasa linapokuja swala la hivi vyombo vya moto hill halikwepeki kabisa, kwakuwa automatically kuna magari hata kwa kuyaangalia tu unaona kabisa hili halimfai mwanaume
Kwahiyo kuna wakati inaweza kuonekana ni dharau lakini kuna uhalisia katika hili, nimetoa mfano kwenye post moja hapo juu haifai mwanaume kununua gari la kutumia mwenyewe lenye rangi ya pink, inaleta ukakasi kwa mwanaume hata kuvaa nguo za rangi hii kwakuwa pink imeshazoeleka kama rangi ya kike
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa mkuu..kama umepaniki hivi,hela yako ulidunduliza kwa miaka mingapi? ili ununue hiyo vitz

Gari unazingatia bajeti yako, eg monthly take tsh 780,000 unaendesha prado kwenda kazini na kurudi km 30km. Then cost of fuel per month is tsh 350,000(approx 50percent of your salary).
kwa vitz ni tsh 120,000. So ukisavu hiyo dufference for 15 years unanunua kiwanja na kujenga msingi.
 
Kwa mtazamo wangu binafsi:
Lincoln/Buick = Retireees or pensioners

Suzuki = Folks with bad credit.

Kia = Unsuccessful young college graduates still chasing the dream

Bmw = young guys with good careers

Mercedes = professionals with advancing careers.

Hammer = hustlers, dope sellers

Hondas = folks with regular jobs

Toyotas = same as Hondas

Porsche = stock traders, brokers, analysts, living the dream

Lexus = ladies with good or 6 figures career mostly

Acura = folks with fairly good careers

Vw-Beetle = ladies, milf

Fiat 500 = young ladies

Mini minor = ladies

Mitsubishi = folks with mediocre jobs

Nissan = folks with ok jobs

Magnum = hustlers mostly from the hood/niggaz n bitches

Subaru = nerds esp college lecturers, intellectuals etc

Gmc, Yukon = suburban folks, soccer moms

Ford = folks with ok but not so successful careers

Cadillacs = fairly successful folks

Maserati/Feraris/Bugatti = pro athletes, high rollers, rich folks etc living the dream

Range Rover = high rollers

Hyundai = folks with mediocre careers

Bentleys = high rollers mostly from Hollywood

Haya Bwana! ! !
 
Sasa gari inaitwa "Nadia" wewe huoni kuwa hiyo ni ya....

Mwaka 2008 nilienda UK nilikaa wiki mbili, kati ya mambo niliyoyategemea kule ni kukuta magari ya maana njiani mfano VX, Range rover, GX n.k. Chakushangaza London imejaa gari ndogo ambazo huku mnaziita Baby walker hata ukienda nje ya London kama East Greanstead na Brighton hali ni ile ile
 
Unakuta kidume cha mbegu miraba sita anaendesha Vero-sa kwanza jina lenyewe utata!
 
Huku hatuna Vitz bwana
 
Attachments

  • 1431150127679.jpg
    1431150127679.jpg
    115.9 KB · Views: 203
Khaa! Vipi kiongozi, washakuvuruga nini? naona povu jingi sana

Comment yako ni burudani tosha!!!, nimecheka nikagonga LIKE bado nimeona sijakutendea haki imebidi nitupie maneno haya.
 
Nahisi kama vile unaishi na dadako mwenye hiyo gari tena mbaya zaidi ends ikawa kahongwa au unavaa shanga mbona unatete sana akinadada au ndo unatumwaga nalo kuchukua nguo za bwashe dry cleaner wakati ametoka kupigwa ngabu dadako?gari zimetengenezwa kwa ajili ya kupunguza garama kwa wanaume wahongaji tusipate hasara kubwa ila gari za kiume zinajulikana

Ha ha ha ha haaa.. dah kumbe ni hivyo basi hawa wajapani wana akili kweli kweli ha ha haa....
Big up to ze Japanizzzzzz
 
Gari unazingatia bajeti yako, eg monthly take tsh 780,000 unaendesha prado kwenda kazini na kurudi km 30km. Then cost of fuel per month is tsh 350,000(approx 50percent of your salary).
kwa vitz ni tsh 120,000. So ukisavu hiyo dufference for 15 years unanunua kiwanja na kujenga msingi.
Khaa!! Acha hayo ya Vitz, Miye napanda daladala kwa miaka 20 sasa, tena haizidi hata tshs 20,000/= kwa mwezi lakini cha ajabu sina hata kiwanja. Sijui kiongozi mahesabu hayo umeyatoa wapi? :glasses-nerdy:
 
Mwaka 2008 nilienda UK nilikaa wiki mbili, kati ya mambo niliyoyategemea kule ni kukuta magari ya maana njiani mfano VX, Range rover, GX n.k. Chakushangaza London imejaa gari ndogo ambazo huku mnaziita Baby walker hata ukienda nje ya London kama East Greanstead na Brighton hali ni ile ile
Hukujiuliza ni kwanini?? London ni mjini na watu wanaoendesha hayo magari 4x4 wengi wanatoka outskirts of London..lakini mtu anaeishi hapo hapo greater London gari kubwa la nini??barabara nzuri , public transport bwelele sasa expenses za mafuta za nini??
wabongo wengi wanaishi maisha fake sio ya uhalisia ndo maana wanashadadia vitu visivyo na tija...wanaiga tu kwa kuangalia kwa Tv ..Wakiona wachezaji wa mpira wanaendesha ma Range rover basi wanafikiri ndo maisha ya wote ni hivyo...hao wachezaji wenyewe wanaishi kwenye outskirts of London na ndio maana wanaendesha hayo ma range. na ulaya magari ya 4x4 mengi ni yanaendeshwa na wanawake, wanaume ukiwa na pesa yako unakamata sports car au salon car thats it.
 
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa naona mada humu JF zikiwa zinaponda magari,kwamba magari kama Toyota Passo,Vitz,IST,Starlet,na n.k ni magari ya kike.

Naomba wote wanaoamini kuwa kuna magari ya kike watoe ushahidi,ni wapi ambako chombo cha moto kimeandikwa kuwa:

A Vehicle Special for female au for male?

Acheni Ushamba nyie watanzania ambao hamjui lolote ktk Dunia hii yenye mambo mengi na mazito.

Tanzania isiyotengeneza hata sindano eti wananchi wake wanadharau magari yanayotengenezwa nje na kuya Classify kuwa hili ni la kike na lile ni la kiume,huu ni ujuha wa hali ya juu.

Watanzania ambao hata kula yao ni shida kwa siku eti nao wanabagua magari,kwa lipi?

Ukienda,Japan,US,UK,Germany,Sweden na popote duniani ambako wanatengeneza magari,hawawezi kukuambia kuwa hili ni gari la kile na lile ni la kiume.

Siku zote maskini ni mtu anayejiona ni bora kuliko wote japokuwa hana lolote,Sasa wewe umehangaika ukapata vipesa vyako unanunua gari anakuja mjinga anakuambia ni la kike,wapi imeandikwa kuwa ni la kike,Ujinga uliokithiri.
Hapana wiseboy, labda hili jambo la magari ya kike na kiume tuliweke hivi:

Kuna aina ya magari yanayopendelewa sana na wanawake kwa sababu wanazozijua wao.Unakumbuka pia kwamba gari automatic zilipoanza kuingia nchini wote wale waliozoea kuendesha magari manual walisema gari automatic ni za wanawake.Hapa pia walikuwa na sababu zao kusema gari automatic ni za kike.

Baada ya watu wengi kuzifahamu gari automatic na kuona uzuri wa kiziendesha kwenye barabara bize watu wakazichangamkia sana. Sasa, katika hayo magari automatic toka japan, bado kuna models zinazopendwa na wanawake; vitz, verossa, nadia, nk. Sasa mtu akiona wanawake wengi wanaendesha aina hizo za magari ndio harakaharaka wanasema gari aina fulani ni za kike.

Yaani watu mara nyingi huunganisha kitu na watu. Miaka ya 80-85 ukimwi ulipoingia mkoani kagera kwa mara ya kwanza ilikuwa ni kipindi ambacho mashati fulani mazuri,yanayoteleza yalipoingia kwenye fasheni za kiume hapa nchini. Wagonjwa wengi wa ukimwi mkoani kagera waliyavaa sana na matokeo yake ukionekana umevaa aina hiyo ya mashati unaonekana kujitangaza kwamba wewe una ukimwi. Mashati hayo yaliitwa 'mashati ya ukimwi'
 
Last edited by a moderator:
NANDERA hebu tuwe na mjadala mpana katika hili, huhitaji kuwa na sononi na tena si tusi kuitwa mwanamke, hiyo ni sifa
Kiasili mwanamke ni zao la mwanaume japo hugeuka na kuwa mwanamke ndio anakuja kumzaa huyo mwanaume
Hebu tuweke pembeni haya mambo ya usawa wa kijinsia ambayo ni mambo tu ya kubuni kutokana na wakati tulip nao duniani, kuna clear demarcation kwenye vitu vingi kuwa directed na jinsia zetu
-kuna nguo za kike
-mapambo ya kike
-vyakula vya kike
-kazi za kike
-mambo ya kike
-rangi za kike
-mwonekano wa kike nk nk

List ni ndefu na katika hivyo vyote kuna kinyume chake! Sasa linapokuja swala la hivi vyombo vya moto hill halikwepeki kabisa, kwakuwa automatically kuna magari hata kwa kuyaangalia tu unaona kabisa hili halimfai mwanaume
Kwahiyo kuna wakati inaweza kuonekana ni dharau lakini kuna uhalisia katika hili, nimetoa mfano kwenye post moja hapo juu haifai mwanaume kununua gari la kutumia mwenyewe lenye rangi ya pink, inaleta ukakasi kwa mwanaume hata kuvaa nguo za rangi hii kwakuwa pink imeshazoeleka kama rangi ya kike

umeona eeeh, hata simu...ni aibu kukuta mwanaume anatumia samsung!
 
Hata Baiskeli Zile Zenye Farasi (shipa)Nizakiume Nazile Zisizo Na Farasi Zakike!
 
Unataka gari ya kiume?nunua kabisa lori,SCANIA 124L utakuwa umemaliza kabisa.
 
Hukujiuliza ni kwanini?? London ni mjini na watu wanaoendesha hayo magari 4x4 wengi wanatoka ouotskirts of London..lakini mtu anaeishi hapo hapo greater London gari kubwa la nini??barabara nzuri , public transport bwelele sasa expenses za mafuta za nini??
wabongo wengi wanaishi maisha fake sio ya uhalisia ndo maana wanashadadia vitu visivyo na tija...wanaiga tu kwa kuangalia kwa Tv ..Wakiona wachezaji wa mpira wanaendesha ma Range rover basi wanafikiri ndo maisha ya wote ni hivyo...hao wachezaji wenyewe wanaishi kwenye outskirts of London na ndio maana wanaendesha hayo ma range. na ulaya magari ya 4x4 mengi ni yanaendeshwa na wanawake, wanaume ukiwa na pesa yako unakamata sports car au salon car thats it.
Watu hawajui maisha ila ukitembea unajifunza mambo mengi sana, ni nadra sana kukuta Hammer au hayo ma VX au V8 katikati ya jiji la London
 
Back
Top Bottom