Environmental Security
Senior Member
- May 21, 2020
- 181
- 261
Habarini wadau...
Leo naomba nizungumze ukweli juu ya hiki kinachoendelea, eti watu wa upinzani kuandika barua na kuomba nafasi za kuteuliwa kugombea nafasi ya urais wa JMT october 2020, Wanachofanya vyama vya upinzani ni utani nadhani na imefikia wakati wameacha kuwa serious, maana haihitaji kuwa na Phd kutambua kuwa ndani ya upinzani hasa wa sasa, hakuna mtu hata mmoja anayeweza kusimama na JPM na kushindana naye, hawamuwezi kwa kukubalika, kwa sera, kwa uimara wa chama, kuaminiwa na waTanzania, yaani najaribu kuwaza hawa wapinzani wana tatizo gani hadi wanaleta mchezo hadi ktk mambo serious kama urais wa nchi.
Tafadhalini wapinzani bado mnayo nafasi hebu tafakarini upya na muendelee na kujipanga sio kudhani tu, ni lazima Mgombee hata kama ukweli mnaujua kuwa hamuwezi kushindana na JPM.
Kuna mtu aliwashauri wapinzani mumuunge mkono JPM, nafahamu aliwaza vema na anafahamu hali ya wapinzani ilivyo, mimi nawashauri anzeni kwanza kujenga vyama vyenu, kutumia vizuri ruzuku na mapato mengine ya chama na kuwaambia wanachama wenu yametumikaje, pia msifukuzane ovyo, kwakifupi mkajipange, mkisha kuwa serious hapo ndipo mnaweza kufikiria hata kujaribu kugombea urais.
"Bila CCM Madhubuti, nchiyetu itayumba"
CCM imara