Acheni walimu wapate hivyo vipesa vidogo, acheni kulalamika tumewachoka

Acheni walimu wapate hivyo vipesa vidogo, acheni kulalamika tumewachoka

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Unafikiri michango yenyewe ni pesa nyingi ni fikira za ujamaa ndo zinazowasumbua, na michango yenyewe husaidia watoto lakini wana lalamika unadhani wana lipa laki hawajazoea kusomesha.

1. Mitihani ijuuma 500@ kwa kila mtihani.

2. Shilling 300 za uji kila siku.

3. Mchango wa 1000 kwa study tour kuenda kiwandani.

4.mchango wa 200 ya karatasi na kuchapisha mitihani

5. Mchango wa 500 kwa mwezi ya ulinzi.

6.Tuition ya masomo ya ziada ya hesabu 500 kila mwanafunzi kwa madarasa ya mttihani std 4 na std 7.

Hela ndogo lakini kelele nyingi njooni huku private mujinee ada 3m inalipwa kwa awamu 3. Usafiri 200k kwa mhula tour100k tunalipa vizuri na bado tuna smile. "If you think education is expensive try ignorance"
 
Rushwa, kwako ni vidogo kwa mzazi masikini ni hela kubwa hiyo. Utakuwa headteacher wewe
 
Rushwa, kwako ni vidogo kwa mzazi masikini ni hela kubwa hiyo. Utakuwa headteacher wewe
The massage is clear Try ignorance if you think education is expensive....hao wazazi masikini za kutongoza pombe gest zina patikana ila 300 ya uji wa mtoto wake inakosekana loh,
 
The massage is clear Try ignorance if you think education is expensive....hao wazazi masikini za kutongoza pombe gest zina patikana ila 300 ya uji wa mtoto wake inakosekana loh,
This your assumption... msemo huo ni wa miaka milioni huko nyuma, it does not make a day today!
 
This your assumption... msemo huo ni wa miaka milioni huko nyuma, it does not make a day today!
Kwahiyo huo msemo hauna ujumbe kwasbb ni wazamani?.......leta mpya wenye ujumbe pia
 
Hapo hiyo 1 na 4 mbona ni kitu kimoja chenye kuchangiwa mara mbili?Ila mimi walimu hawa wananifurahisha sana.Ni wabunifu mnoo!

NJE YA UZI.
Hivi walimu wa chekechea hadi darasa la pili nao wamegawiwa vishkwambi?
 
Kuna kuchapisha mitihani na kusahisha mtihani lazima tuchangie gharama, ila wazazi wana kera kwa kulalamika vitu vidogo vidogo.
 
Kwa nini msirudishe ada kuliko kusumbua wazazi daily na hizi mia mia, mimi ukiniambia ada kwa mwaka tuseme ni laki moja, ni rahisi kwangu kulipa mara moja kuliko kila siku kuambiwa kuna michango. kama serikali haiwapi pesa za kujiendesha pigeni hesabu ya hivyo vimichango vyote kwa pamoja mwapelekee wazazi wachangie.
 
Kuna kuchapisha mitihani na kusahisha mtihani lazima tuchangie gharama, ila wazazi wana kera kwa kulalamika vitu vidogo vidogo.
Kwani anayetunga si ndiye atakayesahihisha?Hapo ilifaa tu iandkwe:

(1)-Mitihani ya majaribio ijumaa (na iwekwe jumla ya gharama zote).

Kutofautishatofautisha ni kuongeza orodha tu ya mahitaji yaleyale yaonekane mengi.

NB: Kumbuka kuna familia uwezo wao kiuchumi ni mdogo mno.Wengine wanaishi kwa kudra ya Mungu na ruzuku ya TASAF au misaada ya majirani.Hivyo basi,kuwawekea michango mingi halafu kila siku ni kuwatesa kiuchumi, kifikra na hata kimwili.

Walimu wasiwe kama wachungaji. Michango(michongo) mingi inatesa baadhi ya wanajamii.Halafu watoto wasipopewa michango hiyo na wazazi wanatandikwa viboko.
 
Unafikiri michango yenyewe ni pesa nyingi ni fikira za ujamaa ndo zinazo wasumbua, na michango yenyewe husaidia watoto lakini wana lalamika unadhani wana lipa laki hawajazoea kusomesha...
Ndiyo urefu wa kamba huo
 
Wazazi wanazingua sometimes. Hilo changisho si la kulalamika kwa viwango Hivyo.

anyway, kama una stable economy usipeleke mwanao st. Kayumba
 
Wazazi wanazingua sometimes. Hilo changisho si la kulalamika kwa viwango Hivyo.

anyway, kama una stable economy usipeleke mwanao st. Kayumba
Hivi,kwa kuangalia tu kwa macho,ukisimama barabarani au kufumba macho na kuhesabu hapo mtaani kwako ni wangapi wanazimudu shule za kulipia?
 
Likewise kuwepo kwa msemo huo does not justify charging parents non-statutory examination/tests payments
Na ni kama wanalazimisha.Watoto wasipopewa na wazazi wakifika shule wanachezea viboko.Hadi inafikia sehemu najiuliza,hivi zile fedha zitolewazo na serikali kama ruzuku huenda kufanya nini mashuleni?Zinagharamia kitu gani kwa wanafunzi?Michanganuo/kiasi kwa kila mtoto imekaaje?Na sera ya elimu bure ukomo wake ni wapi?CCM kujigamba kutoa/kugharamia elimu hakuhusiani na kutoa chakula kwa wanafunzi?
 
Mimi nimechoka, na mwalimu akimpiga kijana wangu namvaa, potelea nairobi
 
Back
Top Bottom