Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Shauri yao kulazimisha mambo.Mbona hapo awali sisi tulisoma bila tuisheni?Tulifundishwa na kupewa majaribio ya wiki au shule kwa shule bila gharama/michango?Walimu wakae wajue,kama ambavyo wanalalamika mishahara yao haiwatoshi ndivyo wengine wapo hivyohivyo.Tabia ya kutaka kuvuna tu bila kazi yoyote ni uhuni mtupu.Mimi nimechoka, na mwalimu akimpiga kijana wangu namvaa, potelea nairobi