Acheni Wivu.

Kuna Wahenga humu., ukijichanganya unalo[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]. Ulishawahi kusutwa hadi ukasahau I'd yako.?
Ohooooo!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuanzia May 2017...[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nilisha sema, kazi tunayo
 
Nilichogundua majority ya watu humu wameanza kutumia mitandao ya kijamii baada ya smartphones kuja sasa wakimuona mtu kajoin muda si mrefu halafu kachangamka kama culture hapa ndio wanawaza kua alikua mwenyeji wakati watu tupo kwenye social nets kabla hata ya haya ma smartphone, watu tunaenda kwenye Cyber centre (Internet cafe) tulikua na ma akaunti Afrointroduction sijui Pinpal mara Qeep hehehehe

Inafurahisha kuona kuna watu wanadhani jf ni ulimwengu mwingine na ni wao tu ndio wanastahili kuwepo.....

NOOFFENCENOHARDFEELINGS.
lolest.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Watu wa humu wanajifanyaga jf wana hatimiliki nayo,,sijui yapojee
Yana matatizo ya akili.
Yenyewe yapo tuu hayachangii kitu cha maana zaidi ya kudisi[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41].
Kama wana maind wa left wao[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama bado haujanywa chai, pata supu hotel yoyote ya kimataifa nakuja kulipa.[emoji119][emoji119][emoji119]
Kuna moja hapo juu lina midevu kama kambale[emoji23][emoji23][emoji23].
Limeanza kutumia smartphone na Internet baada ya kununuliwa simu na wajukuu[emoji16][emoji16][emoji16] mwaka juzi.
Watatuelewa tuu.
Hawataki wageni wamekuwa Melo?[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…